Mgeni Rasmi mechi ya Simba Vs Yanga ni Kibu Dennis

Mgeni Rasmi mechi ya Simba Vs Yanga ni Kibu Dennis

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Klabu ya Simba ambayo ni mwenyeji katika mchezo wake wa wikend hii dhidi ya Yanga imemtangaza Kibu Dennis kama mgeni rasmi wa mchezo huo.

Hili ndio soka letu sasa kivyetuvyetu.

IMG_8577.jpeg
 
Ahmed Ally kaona aibu kusema kuwa Jumapili ni Kibu Day badala yake anazuga kuwa Kibu ndio Mgeni rasmi. Kwa Yanga hii mtaiga kila kitu.

“Mgeni rasmi…ni Kibu Denis Prosper” sehemu ya maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akimtangaza ‘Mgeni Rasmi’ kuelekea Derby ya Kariakoo.
 
Back
Top Bottom