Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Niko paleee!Klabu ya Simba ambayo ni mwenyeji katika mchezo wake wa wikend hii dhidi ya Yanga imemtangaza Kibu Dennis kama mgeni rasmi wa mchezo huo.
Hili ndio soka letu sasa kivyetuvyetuView attachment 2797825
Kwahiyo hata cheza au...
Zile mechi mbili za mwisho dhidi yetu zimewapa mdomo sana hawa mwakarobo fc.Mind game ya kitoto sana, hii sio Yanga ya Nabi.
Kulu daba katika ubozi wako.Mbumbumbu katika ubora wake. Siku zote wanafikiri mpira unachezwa mdomoni.
Wakiingia uwanjani, wanautafuta mpira kwa tochi na ile papatu papatu yao.
Ya Nabi na hii ina tofauti gani, zote zimefungwa na Ihefu magoli sawa.Mind game ya kitoto sana, hii sio Yanga ya Nabi.
Hakika mkuu, inabidi tuondoe hii fedheha.Zile mechi mbili za mwisho dhidi yetu zimewapa mdomo sana hawa mwakarobo fc.
Kuna Sheria inamzuia mgeni rasmi kucheza? [emoji16]Kwahiyo hata cheza au...