Mgeni Rasmi mechi ya Simba Vs Yanga ni Kibu Dennis

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi yanga damu il kibu de mtombangile namuogopa
 
Klabu ya Simba ambayo ni mwenyeji katika mchezo wake wa wikend hii dhidi ya Yanga imemtangaza Kibu Dennis kama mgeni rasmi wa mchezo huo.

Hili ndio soka letu sasa kivyetuvyetu.

View attachment 2797825
Simba ni timu inayoendeshwa kihuni huni, hapo wanajaribu kukopi and paste ubunifu unaofanywa na Yanga lkn wamefeli pakubwa mana hii imekaa kihuni sana.
 
Sometimes hivi vitu ni kuwapa panic wachezaji mechi ya Derby unambebesha mzigo mchezaji mwisho wa siku aki ingia uwanjani anakua na deni ,sio kitu kibaya ila kwa big game sioni kama ni sahihi
Una akili sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…