Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgeni akiondoka nitakupigia simu uje uchukue funguo,au ulibadili namba?😭👏🏻kila Lakheri kwake 😅
😅😅😅😅
Ipo njoo kakaMkuu una buku kumi hapo ya haraka ili nikusaidie badge yako irudi?
Nyie pumzikeni huyu najitolea kumpambania mwenyeweTugawane majukumu mkuu,wewe msaidie Eliza,na Mimi nimsaidie Mama Eliza mtaji wa kwenda Dubai au China.
😄😄Nyie pumzikeni huyu najitolea kumpambania mwenyewe
HakikaKaribu Mama Eliza utajionea mengi
🤣🤣🤣🙌Mama Eliza utaweza mikiki mikiki ya huku?maana hilo jina inaonekana machozi yako yapo karibu
Mama eliza karibu jfMimi mpya humu jukwaani, naombeni mnipokee.
Tuwekee na kapicha basi.Mimi mpya humu jukwaani, naombeni mnipokee.
😄😄Mama Eliza utaweza mikiki mikiki ya huku?maana hilo jina inaonekana machozi yako yapo karibu