Mgogoro Hamas vs Israel: Bunge lapitisha sheria inayotoa ufafanuzi wa 'Chuki dhidi ya Wayahudi' ili Idara ya Elimu itekeleze sheria ya kupinga ubaguzi

Kazi yako kuokoteza vijihabari kusikojulikana,matapishi matupu haya.
Hahaa huyu Mgalatia hataki kuamini kama Marekani wamepitisha sheria ni marufuku kusema Yesu kauuliwa na Wayahaudi.
 
Yan kuna watu unaweza jiuliza sijui hawana kazi za kufanya au?
Sasa wewe mlolokole una kazi gani 😀 zaidi ya kushinda JF kutetea magaidi wa Israel
Hii ni UCLA leo, baada ya wachochezi kuvamia kambi ya 🇵🇸 jana usiku. Kila mara wanaposhambulia waandamanaji wanafunzi, watu wengi zaidi hujiunga na maandamano, kambi hukua na hasira huenea. Ndiyo maana vyombo vya habari na mamlaka wanataka kuifunga, inafanya kazi.

View: https://x.com/assalrad/status/1785863543457456515?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hahahaa imebidi nicheke tu Mods wa JF na wenyewe Pro-israel 😀

Huu uzi wameharibu kwa makusudi na kuweka manene yao sijui mgogoro wa Hamas😀

Mods hata mkikataa bunge la Marekani limepitisha sheria ni marufuku kusema Yesu aliuliwa na Wayahudi unaenda jela.

Basi endeleeni na uzi wenu mimi huu siyo uzi wangu.
 
Ma mods ni waisraeli kutoka mbagala kiburugwa.
 
Maamuma mnahamisha magoli tu kwenye hii habari walichopicha ni chuki dhidi ya wayahudi sio kuharamisha ukristo!
 
haya sasa wakrist
haya sasa wakristo wa buza mnawatetea waisrael...safari hii limewakuta,mtaitetea biblia au mtaitupilia mbali biblia ili mbaki na LGBT wenu israel ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…