Mgogoro Hamas vs Israel: Bunge lapitisha sheria inayotoa ufafanuzi wa 'Chuki dhidi ya Wayahudi' ili Idara ya Elimu itekeleze sheria ya kupinga ubaguzi

Gaza imekuwa majivu aisee, yani hatakama Israel haitashinda vita lakini Hamas kupitia Gaza watakuwa wamejifunza, Beirut naona nayo inanukia nukia kama Gaza ila ngoja tuone itakavokuwa...
 
Sources..? Unatuletea haaabari za madrasa uvinza
 
Kaka zao wana deal na mambo mazito kuwashughulikia kina Yahya Sinwar, Nasrallah, Kutega bomu chini ya kitanda cha kiongozi wa Hamas akiwa Iran, Kunyakua Helikopta za marais hewani, Kulipua pagers, n.k.

kazi ndogo ndogo zimeachwa kwa watoto wa kike,

Pichani: Askari wa kike wa Jeshi la Israel akiwaongoza magaidi wa Hamas waliojisalimisha kwa kuhofia maisha yao.




Wiki iliyopita walitumwa wanajeshi wa kike Iran kulipua viwanda vya makombora na Drone, madhara ya ziada yakiwa vifo vya wanajeshi wanne wa Iran na kulipua mifumo ya ulinzi wa anga



Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes
 
Kazi ndogo ndogo wanaachiwa watoto wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…