Mgogoro NCCR Mageuzi: Timu Mbatia wachukua ofisi, wasema umefanyika uhaini ndani ya chama, Mbatia bado ni mwenyekiti

Kosa la Mbatia ni kugoma kushiriki kikosi kazi cha kihuni
 
Wachaga wanaojihusisha na siasa ni wachache mno, hivi Lipumba ni mchaga?

Hashim Rungwe ni mchaga?

Chuki zako dhidi ya wachaga zinakuondolea ufahamu
 
Hivi inashindikana nini kumuua huyu mhuni?
 
Selasini ataenda ACT kwa wasaliti wenzake
 
Ila CHADEMA imetapakaa Sana. Huyu Simbeye alikuwa CHADEMA miaka ya nyuma hapo. Kweli CHADEMA ni kiwanda Cha kutengeneza wanasiasa. Mpaka CCM walienda kununua huko baada ya kuona kwao ni magalasa. Keep it up CHADEMA.
Walikuwa hukohuko NCCR kabla ya kwenda CHADEMA.
Sasa wamerudi nyumbani
 
I remember those days.
Mzee Mrema alikuwapo.Walizichapa wakatoana na ngeu.Maberu Marandu alijificha chini ya meza kuokoa nafsi yake.
Hizi kazi zinafanywa na vyombo vya dola kwa gharama ya kodi zetu,kufarakanisha Wapinzani ndiyo fani yao.
 
Selasini ni muhuni na ndiyo maana CDM walimshtukia mapemaa !!
 
Umeshafura!
 
Kweli kabisa. Si vijana wengi humu wanayoyaelewa hayo. Ndipo nadhani likazaliwa jina "mageuzi" mbele ya NCCR.

Yanajirudia tu. Yanyojitokeza hivi sasa huko NCCR yanathibitisha methali ya Kiswahili "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo".
NCCR Mageuzi haikuanzishwa kama chama cha siasa bali lilikuwa kundi la wanaharakati waliokuwa wanadai kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa. Kama kumbukumbu zangu ni sahihi katibu mkuu wake alikuwa Mabere Marando.

Baada ya mfumo wa vyama vingi vya siasa kuruhusiwa ndipo kikajibadilisha kuwa chama cha siasa na Mzee Lyatonga Mrema alijiunga nacho baada ya kujiuzulu uwaziri. Lyatonga Mrema alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa NCCR na baadaye kugombea urais akiwa na Mkapa wa CCM, Mzee Mapesa wa UDP nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…