Mgogoro wa ardhi ya wamasai kule ngorongoro usiposhughulikiwa kwa hekima na busara basi waweza geuka kuwa kitisho kikubwa cha usalama wa Taifa kwa sababu kama nilivyowahi sema hapo zamani kwenye makala yangu jinsi idara zetu za usalama zimejikita na siasa kiasi mataifa yakigeni yanatengeneza vita yetu wenyewe kwa wenyewe bila kujuwa na mwisho tunaona haya tunayaona.
Bila kuishutumu nchi awaye yoyote ila nataka kuamini mgogoro wa Ngorongoro ni moja ya usatadi mkubwa wa ki intelligence wa mataifa jirani kutuweka njia panda kama Taifa.
Huu mgogoro sio wakuubeza wala kuuchukua poa maana unaweza leta maafa yanayo onekana na yasio onekana na mwisho uchumi wetu ktk secta ya utalii.
Niukweli mchungu usio pingika kupitia vyanzo tofauti vya taarifa huu mgogoro unaweza hata kuatarisha usalama ndani ya serikali na hata idara nyeti za taifa.
Hakuna mmasasi atakubali kuondoka ngorongoro... Nakama wataondolewa basi serikali itajiandaa na visasi vya ndani kwa ndani na mwisho watarudi tena ktk ardhi yao.
Vita ya ngorongoro haina mshindi na kila anaye shadadia hili janga hili nikwamba hajuwi unyeti wa hili swala na vile madhara yake yatakuwa makubwa kwa taifa na uchumi.
Vita inapiganwa pale Israel na Palestinian ni ugomvi wa ardhi nikweli Tz nikubwa ila kumuondoa mtu mahali pana asili ya uwepo wao nikumtoboa macho while akikuangalia.
Tumechelewa sana na tumekumbuka shuka kumekucha while wenye remote wakiwa mbali na kumchezesha mwanasesere ndani ya taifa.
Tulikuwa wapi mpaka watu wanaingia eneo la hifadhi nakuzidi idadi ilikubalika? Mbaya zaidi kwa hali ya sasa wapo vijana na wasomi ktk jamii ile wengine wapo ktk mifumo yetu ya usalama na nje ya taifa hii vita sio vita nzuri.
Ni vita mbaya ambayo kama taifa na serikali ijitafaka na kuja na njia mbadala kuepusha visasi kule ngorongoro.
Nimalizie kwa kusema idara zetu za usalama ikiwa hazitokuwa makini na kitisho cha idara za mataifa yakigeni kuligawa hili taifa na kuhamgaika na siasa za ndani basi sitoshangaa kuona mambo hayakudhaniwa.
Wakati mataifa jirani yanapanga kutukamua nakutugawa idara zetu zipo very biz na mambo ya huyu kasema nini au kufanya nini kwenye siasa. Wakati idara zinapambana na upinzani wenzetu wanacheza na malizetu kama mali zao.
Nita waambia jambo la ajabu sana sana na mimi naomba nionyeshe ni jinsi gani mfumo wetu wakiusalama tusipo uwangalia tunakwenda kulitesa hili taifa.
Niwakumbushe tukio la hivi majuzi, tukio hili sio la kawaida ambapo Rais wetu alifanya safari yakikazi nchi ya jirani ya Mozambique nakukutana na Rais wa taifa lile namoja ya mambo waliongea ni issue ya usalama ktk ukanda wa mpaka wa kusini. Baada ya ile safari Rais alirudi Tz.
Amini usiamini Rais wa Rwanda haikupita siku chache alienda Mozambique na ktk mambo ya ajabu alio yafanya ambayo ni fedhea kwa taifa nakama kutuzaba kibao cha uso. Kagame ali ruhusu kuhojiwa mmoja ya magaida na kusema hao magaidi nikutoka Tz na walikuwa wakiomba radhi. Baada ya hapo ile taarifa ilirushwa ktk vyombo vya kimataifa huku Rwanda ikijitapa tangu waingie Mozambique magaidi wakoma na wale magaidi wakakiri kweli Rwanda imewachapa nakuwadhoofisha.
Ndugu zangu kwa mtu asie juwa anaweza kuona tukio hili nilakawaida ila sio lakawaida. Rwanda nikama wamelipiza kisasi kutokana na uwepo wetu kule Kongo na pia kwa wale hamjuwi Rwanda imekuwa na mgogoro na Tz wachinichini tangu enzi za Kikwete.
Well nisiandike sana ila yapo mambo ni siri sana na nikitisho cha kesho ya Tz na Tanganyika.
Nilazima tuchaguwe moja ili kutoka hapa tulipo nje ya hapo kesho yetu ni mashaka tupu. End