The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
why?Ukionekana una bidii utachukiwa na wengi,hakuna msingi wa vikwazo kwa China,wivu tu wa maendeleo
Why?the usa - china economic war is officially coming to Africa.
Hizi airtel za africa ni subsidiaries za airtel india.
Baada ya India kuingia kwenye mgogoro wa China, kampuni ya mawasiliano ya Airtel inatarajia kuachana na kampuni ya Huawei.
Airtel imeikaribisha kampuni ya Errickson kutoka Sweden kupata vifaa vya mawasiliano ya 4G na 5G.
Je Huawei itaweza kuishi ama kupambana na vikwazo vya kimarekani?
Tusubiri.
Airtel | Boycott Chinese products: Huawei may lose Airtel’s Tamil Nadu 4G circle to Ericsson
Wanangu kama nawaona watakavyo piga hela,bado Vodacom nao.Baada ya India kuingia kwenye mgogoro wa China, kampuni ya mawasiliano ya Airtel inatarajia kuachana na kampuni ya Huawei.
Airtel imeikaribisha kampuni ya Errickson kutoka Sweden kupata vifaa vya mawasiliano ya 4G na 5G.
Je Huawei itaweza kuishi ama kupambana na vikwazo vya kimarekani?
Tusubiri.
Airtel | Boycott Chinese products: Huawei may lose Airtel’s Tamil Nadu 4G circle to Ericsson
Ooh..kumbe!!.Hizi airtel za africa ni subsidiaries za airtel india.
the usa - china economic war is officially coming to Africa.
Ina maana kabisa hujui kwamba India na China hivi karibuni walipambana mpakani na wanajeshi aa India kufariki? Au hujui kuwa Bharti Airtel ni kampuni ya India. Yaani ukiwaza kwa hisia shida sana!Ukionekana una bidii utachukiwa na wengi,hakuna msingi wa vikwazo kwa China,wivu tu wa maendeleo
Inawezekana ila sio haraka kiivyoo.. kubadiri miundombibu ya mawasiliano..ni gharama kubwa sanaWanangu kama nawaona watakavyo piga hela,bado Vodacom nao.
Najua ila kwa hili zengwe analofanyiwa China na USA plus mgogoro wao na India mwezi uliopita,hili jambo lishapitishwa bado utekelezaji.Inawezekana ila sio haraka kiivyoo.. kubadiri miundombibu ya mawasiliano..ni gharama kubwa sana
Kuanzia sass mpka hio 2027 miaka yakushato MKUU hapo kati kati lolote linaweza kutokeaNajua ila kwa hili zengwe analofanyiwa China na USA plus mgogoro wao na India mwezi uliopita,hili jambo lishapitishwa bado utekelezaji.
Hata UK wameplan mpaka 2027 kampuni zote ziwe zimeshaondoa devices zote za Huawei.
Zipo ila sio za kuendekezaHizo mambo zipo tu MKUU