Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Sijaunga mkono nimeongelea tu uwepo wake...Zipo ila sio za kuendekeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaunga mkono nimeongelea tu uwepo wake...Zipo ila sio za kuendekeza
Sidhani kama Cisco yuko kwa hiyo leagueHapo Cisco systems inakula shavu!
Cisco Ni kampuni ya telecoms ya marekani competitor wa Huawei!Sidhani kama Cisco yuko kwa hiyo league
mkuu industry ya IT ni very very wise, HUAWEI na CISCO ni very remote competitors.Cisco Ni kampuni ya telecoms ya marekani competitor wa Huawei!
Sio Juniter ,Ni Juniper nawajua.Kabla ya Huawei kuwa giant kwenye telecoms, switch na routers kwenye cellular operators na service providers zilitumika za Cisco . Huawei amechukua soko la Cisco kwenye eneo Hilo!mkuu industry ya IT ni very very wise, HUAWEI na CISCO ni very remote competitors.
HUAWEI kajikita zaidi kwenye Telecommunication, CISCO ka focus kwenye INTERNET.
Ukigoogle, utaambiwa competitors wa CISCO ni SAMSUNG, NOKIA, ERIKSON,APPLE etc wakati hao wote ni nadra kutajwa kama competitots wa CISCO.
Utaambiwa kwa mfano major competitor wa CISCO ni JUNITER na ARUBA. Unawajua hao?
kama mzaha,ila kiukweli hakuwa amekomaa na nafasi iliyokuwa inamfuata kwa kasi.China angetulia kidogo angekuwa superpower ndani ya miaka mitano. Lakini kwa tabia aliyoionyesha wamestuka ataota usuperpower
blaza ni miaka 7 tu hiyo.Kuanzia sass mpka hio 2027 miaka yakushato MKUU hapo kati kati lolote linaweza kutokea
Kiufupi hakuna utekelezaji hapo MKUU
soko la bidhaa zipi kiongoziSio Juniter ,Ni Juniper nawajua.Kabla ya Huawei kuwa giant kwenye telecoms, switch na routers kwenye cellular operators na service providers zilitumika za Cisco . Huawei amechukua soko la Cisco kwenye eneo Hilo!