Mgogoro wa dakika za kuongeza kufidia muda uliopotea kwa refarees,kwanini stop watch isitumike na iwe inaoneka kwenye score board?

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
368
Reaction score
556
Wadau wasalaam

Hivi kila kitu mpaka kianzie playa
Kwanini kwenye score board tofauti ya muda wa kuanza mechi na kumalizika isiwe inaonekana,sio libaki swala la referee kwa discretion yake

Mfano muda mpira unaanza na stop watch ya referee viwe vinaonekana kwenye score board...mwisho tofauti ya muda wa stop watch na muda wa kumalizika mchezo ndo viamue muda wa kuongezwa

Hili nalo mpaka lianzie UEFA kweli?
 
Tukifanya hivyo Simba itabebwaje?
 
Si rahisi, sheria inampa nguvu mwamuzi, sheria inasema, dk za nyongeza mwamuzi anaweza zidisha kidogo kutokana na anavyoona game ila haifai kumaliza game chini ya zile za nyongeza,
Mfano zimeongezwa 3, mwamuzi hapaswi kumaliza chini ya 3, mfano 2 ama 1.
Ila mwamuzi kama aliona kuna ucheleweshaji muda wa dhahiri kabisa, anaweza kusogeza mpaka dk ya 4 ama 5 kwa jinsi alivyoona yeye inafaa
 
Yote hayo unatafuta nini?
Umewahi kuona wachezaji wanazirai kwa sababu ya kuongezewa muda wa dakika 10 au 12?
Dakika ziongezwe wote mcheze soka

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wadau wasalaam

Hivi kila kitu mpaka kianzie playa
Kwanini kwenye score board tofauti ya muda wa kuanza mechi na kumalizika isiwe inaonekana,sio libaki swala la referee kwa discretion yake

Mfano muda mpira unaanza na stop watch ya referee viwe vinaonekana kwenye score board...mwisho tofauti ya muda wa stop watch na muda wa kumalizika mchezo ndo viamue muda wa kuongezwa

Hili nalo mpaka lianzie UEFA kweli?
Naunga mkono hoja.
 
Hili la kuongeza muda wa ziada halina tatizo, maana timu zote zinacheza na kila mmoja anaweza kupata goli katika muda huo wa nyongeza.
 
Waige muda wa basketball. Kila kitu ni stop watch inatumika

Huwezi kuleta ujanja wa kupoteza muda ama kuongza muda kwenye basketball
 
Si rahisi, sheria inampa nguvu mwamuzi, sheria inasema, dk za nyongeza mwamuzi anaweza zidisha kidogo kutokana na anavyoona game ila haifai kumaliza game chini ya zile za nyongeza,
Mfano zimeongezwa 3, mwamuzi hapaswi kumaliza chini ya 3, mfano 2 ama 1.
Ila mwamuzi kama aliona kuna ucheleweshaji muda wa dhahiri kabisa, anaweza kusogeza mpaka dk ya 4 ama 5 kwa jinsi alivyoona yeye inafaa
Nadhani world cup kulikua na kitu cha kujifunza,dk mpaka 12 ziliongezwa
 
Wenzetu walishavuka huko mkuu

Zingatia Dk 90 na zozotezitakazo ingezeka

Kuna tofauti gani kati ya refa akiamua dk 10 zikaonekana kwenye score board au zisionekane?
 
Hizo dakika zina mgogoro gani?.Kama sio ni shida tu za ujuaji wa wabongo na waafrika kutafuta lawama pale mambo yanapokua sio waliyotarajia.
 
Wenzetu walishavuka huko mkuu

Zingatia Dk 90 na zozotezitakazo ingezeka

Kuna tofauti gani kati ya refa akiamua dk 10 zikaonekana kwenye score board au zisionekane?
Refa anaweza kuwa sio mwadilifu
 
Back
Top Bottom