musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Tukifanya hivyo Simba itabebwaje?Wadau wasalaam
Hivi kila kitu mpaka kianzie playa
Kwanini kwenye score board tofauti ya muda wa kuanza mechi na kumalizika isiwe inaonekana,sio libaki swala la referee kwa discretion yake
Mfano muda mpira unaanza na stop watch ya referee viwe vinaonekana kwenye score board...mwisho tofauti ya muda wa stop watch na muda wa kumalizika mchezo ndo viamue muda wa kuongezwa
Hili nalo mpaka lianzie UEFA kweli?
HahahaHilo mpk lipate kibali toka uzunguni
Yote hayo unatafuta nini?Wadau wasalaam
Hivi kila kitu mpaka kianzie playa
Kwanini kwenye score board tofauti ya muda wa kuanza mechi na kumalizika isiwe inaonekana,sio libaki swala la referee kwa discretion yake
Mfano muda mpira unaanza na stop watch ya referee viwe vinaonekana kwenye score board...mwisho tofauti ya muda wa stop watch na muda wa kumalizika mchezo ndo viamue muda wa kuongezwa
Hili nalo mpaka lianzie UEFA kweli?
Ndio lazima lianzie UEFAHili nalo mpaka lianzie UEFA kweli?
Naunga mkono hoja.Wadau wasalaam
Hivi kila kitu mpaka kianzie playa
Kwanini kwenye score board tofauti ya muda wa kuanza mechi na kumalizika isiwe inaonekana,sio libaki swala la referee kwa discretion yake
Mfano muda mpira unaanza na stop watch ya referee viwe vinaonekana kwenye score board...mwisho tofauti ya muda wa stop watch na muda wa kumalizika mchezo ndo viamue muda wa kuongezwa
Hili nalo mpaka lianzie UEFA kweli?
Mbona dk za kawaida zinaonekanaKila mtu atakuwa refa mkuu itakuwa fujo
Nadhani world cup kulikua na kitu cha kujifunza,dk mpaka 12 ziliongezwaSi rahisi, sheria inampa nguvu mwamuzi, sheria inasema, dk za nyongeza mwamuzi anaweza zidisha kidogo kutokana na anavyoona game ila haifai kumaliza game chini ya zile za nyongeza,
Mfano zimeongezwa 3, mwamuzi hapaswi kumaliza chini ya 3, mfano 2 ama 1.
Ila mwamuzi kama aliona kuna ucheleweshaji muda wa dhahiri kabisa, anaweza kusogeza mpaka dk ya 4 ama 5 kwa jinsi alivyoona yeye inafaa
Wivu tu nyakati nyingine,wivu unawaletea upofu.Nadhani world cup kulikua na kitu cha kujifunza,dk mpaka 12 ziliongezwa
Hata kwenye football ni hivyoWaige muda wa basketball. Kila kitu ni stop watch inatumika
Huwezi kuleta ujanja wa kupoteza muda ama kuongza muda kwenye basketball
Refa anaweza kuwa sio mwadilifuWenzetu walishavuka huko mkuu
Zingatia Dk 90 na zozotezitakazo ingezeka
Kuna tofauti gani kati ya refa akiamua dk 10 zikaonekana kwenye score board au zisionekane?
Ligi ya Turkiye kuongeza dakika 9 mpaka 12 ni jambo la kawaida.Nadhani world cup kulikua na kitu cha kujifunza,dk mpaka 12 ziliongezwa