Mgogoro wa Ethiopia unadhihirisha umadhubuti wa mfumo wetu wa mikoa dhidi ya ule mfumo wa majimbo



Nchi za waafrika hizi zikiongozwa na huyo unayemsifia Laanatullahi Nyerere kaziacha ziko hivi

NB : HAMNA WAARABU HAPO


Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list​


Emmanuel Abara Benson

November 12, 2021 10:59 AM





Poorest countries in Africa in 2021


  • The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund.
  • The aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage.
  • Out of 36 countries on the list, African countries dominate.

There are currently about 34 African countries on the World Bank and IMF's heavily indebted countries' list, according to data obtained by Business Insider Africa.


Among these heavily indebted poor countries are: Ghana, Tanzania, Ethiopia, Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Central African Republic, Chad, Comoros Islands, Democratic Republic of Congo and Republic of Congo. Others include: Ivory Coast, Eritrea, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Niger, Rwanda, Sao Tome and Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Tanzania, Togo, Uganda and Zambia.

The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund (IMF) which was launched in 1996. According to information obtained from the IMF fact sheet, the aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage.





 
We nawe tutokee hapa, na matusi yako, hiyo lanatullahi ina sababu gani hapa
Nyie ndio kungekuwa na majimbo mngeleta shida sana

Kuna tusi hapo au huyo mdini mwenzako katajwa umeanza kuungua maini ?? kila neno kwako limekuwa tusi 😛
😛😛😛

Kwani hivi bila majimbo si mnasema wachaga wasitawale au vipi ?? na wengine mnawabambikizia kesi za kigaidi
 
Kasome ripoti ya tume za Nyalali na Warioba.
The least favored administrative policy, ipo nyuma ya Zanzibar na Tanganyika kuwa na serikali moja.
Failed miserably, ni kwamba tu wewe hujui mambo ya siasa, ni mshabiki.
Mimi sio mshabiki wa Siasa, mimi naandika facts. Hivi honestly kabisa unaweza kuja hapa na kudai chaguzi zetu ni huru na za haki kwa asilimia 100? Kumbuka niliyem_quote alidai hiyo sera imeshindwa kwenye chaguzi. Sasa hiyo ya Nyalali na Warioba inatokea wapi hapa!?
 
Ukimuacha hayati Nyerere ni kiongozi gani aliyeacha hiyo legacy nzuri usemayo?!!??

Anzia Misri mpaka kusini mwa afrika....yupi huyo?!!!

Mandela inajulikana kwa historia yake kuzongwa na "untold stories" nyingi tu.......
Let's try Zambia
 
Income tax is not the only tax i'm paying pumbavu wewe. People file their income taxes.

Bakhresa ana viwanda Mkoa wa Pwani na analipa Taxes mkoa wa pwani pia.

Central government is not necessarily led by one person. Central governments have Judiciaries and legislatures katika na kutoka kila sehemu ya nchi.

Majimbo hayampunguzii madaraka rais, acha ujuha na upumbavu wewe, hicho kichwa chako kina uharo? Katiba ndiyo inayompunguzia rais madaraka. Unaweza kuwa na majimbo na ukawa na rais mwenye madaraka kama nchi yenye central government, angalia kenya.

Kuna central governments zinazoongozwa na prime Minister directly responsible to the legislature. na composition ya legislature inatoa watu kutoka vimji mpaka vya watu elfu kumi.

Blood clis.
 
Ndio maana nikakwambia wewe ni mshabiki wa siasa.
Unashinda tu humu ndani kupiga kelele, jisomee unapopata nafasi. It's fun.
 
Naona kuna mapungufu mengi sana kwenye mfumo wetu wa Kimikoa. Siungi mkono moja kwa moja mfumo wa majimbo, lakini nadhani tungepitia upya mfumo huu uliokuwepo na kuuboresha. Na pia niseme si wajibu wa chama cha siasa kubadili mfumo wa kiutawala. Swala hili linatakiwa liwe kwenye katiba. Sio kila kiongozi akija anaamua kuwe na mikoa mipya na wilaya mpya kwa matakwa na maslahi yake. Kama tunavyolalamikia mkoa unataka kuundwa Chato

Tufike mahali tuone je kweli tunahitaji mikoa na wilaya mpya kila wakati. Kwa mtazamo wango mikoa mipya na wilaya mpya huongeza gharama za kiutawala. kwa sasa pesa za kimaendeleo hutumwa kwenye kila wilaya. kama ni hivyo je kunahaja ya kuwa na ofisi za mikoa?

Nimena swala lingine la kuwa na halimashauri mbili ndani ya wilaya moja hasa zile zenye halimashauri ya mji na halimshari za wilaya hizi zitaenda kuwasumbua sana wananchi watu walizoea kufuata huduma mjini sasa wanajengewa ofisi na hospitali nyingine nje ya mji na mara nyingi hata jografia ya wilaya inakataa. mwananchi atoke upande mmoja avuke mji aendeupande wa pili kufuata ofisi za halimashauri ya wilaya.

Kimsingi niseme mifumo hii ya kimikoa majimbo na mingine mingi inatoana na historia yanchi yenyrwe na vile watu walivyokubaliana. swala hili likiwa kwenye katiba hakuna chama kitakuja kubadili mfumo huo.

Jirani zetu Wakenya waliunda katiba mpya wakaja na mfumo wa County ambazo zinaongozwa na viongozi wa kuchaguliwa amabao hawana majejeshi. Nimeona mfumo huo umefungua nchi kimaendeleo. Tuachana na huu utaratibuambao Rais au Waziri anaweza badili mifumo ya kiutawala apendavyo.
 
Huyu jamaa anakula bangi mgogoro wa Ethiopia kwa sasa sio wakijimbo tena hauna picha ya kijimbo tena, sasa unapicha ya kitaifa, pia Tanzania tumechanganyika kila kona, fikiria Wachaga utawakosa wapi na wamejenga wanakoishi unafikiri watafurahia kanda ya kaskazini kujitenga ???
 
Yote upo sahihi lakini kama Kenya kuna Demokrasia ya kweli mbona Raila aliporowa ushindi mara 2. Kuhusu ukabila kwasasa Kenya ndipo ukabila umeongezeka kwa kasi kubwa na uchaguzi wa 2022 ukabila ndio utaamua nani mshindi
 
Wewe unakaa Atlanta,umeenda New York kwa ishu zako,unalipa New York taxes zipi?

Taxes maana yake tunasemea kwa mwaka mzima unafile taxes net wapi ndio maana yake
Sales Tax, Road/airport toll, hotel , entertainment ..... wewe kamasi kichwani.
Sio unavuka kivuko kila mvukaji anaambiwa alipie kodi ili mvuke wewe unachukulia ndio "kodi" hasa

Stop this nonsense
Uwe unasoma receipts, huwa zinainisha taxes mpaka city taxes in amount.
Kama ushaishi States inatakiwa ujue hilo, sijui kuhusu huko kwenu mashati labda receipts hazihainishshi taxes.
Wewe kwa upumbavu wako unaweza nitajia branches of government ni zipi?
1. Executive
2. Judiciary
3.Legislature.
hata kukiwa na majimbo, hizi branches zitakuwepo kwenye majimbo. Na zinatawala kiuliko unavyofikiria. Raisi akiamua kitu against constitution, judiciary inakataa.
Ukitaka kujenga shule kwenu matombo , bunge lazima lipitishe budget. Sasa utasemaje hivi vyombo havina maamuzi?
Unaweza kuwa na governor Moshi? No, Judiciary won't let that happen kwa sababu it's against the "Constitution" kwa hiyo Judiciary inasimamia mitaa na vijiji inaongozwaje,.
Bunge pia, hilo ndio lililopitisha sheria ya serikali za mitaa.
What a dumb f#ck!
Yes, Capital.
Capital pays taxes and capital reap profits. Whose Capital? Bakhresa"s kwa hiyo Bakhresa ana mchango mkubwa wa Taxes Pwani kuliko Mzee Mpili.
You are an ass wipe bruh!, mtu mwanadamu anaweza ana kampuni na yeye ndiye anayekula faida. Corporations are entities that can be sued but they can not reap profits and buy yatchs. Siyo kila kitu unachokisoma basi ukitafsiri kama mwanafunzi wa EGM. When you read in Washington Post that Bill Gates is explaining about Microsoft's Monopoly, or Mark Zuckenburg explaining about facebook's privacy, thats them protecting their money. You can't say Microsoft is a billionaire!
apa shida ni nyie kuogopa central government na rais kupunguziwa madaraka na kupewa wananchi na viongozi wao waliowachagua wao binafsi kwenye maeneo yao wao maana ndio wanayoyajua na kujua shida zaidi ya yeyote

Huu uoga wa kiCCM muache mbuzi nyie
Hata sasa hivi rais anaweza kuondolewa madarakani na theluthi mbili ya wabunge, anytime...
You can be a weak President right now kama huna Bunge. Na unaweza kuwa rais na ukatawala majimbo yote kwa kuiba kura.
It's the same game.
 
Yote upo sahihi lakini kama Kenya kuna Demokrasia ya kweli mbona Raila aliporowa ushindi mara 2
Demokrasia au katiba mpya? Tokea katiba mpya iwepo Urais alioporwa mahakama ilitengua ila akasusia uchaguzi wa marudio kama angeshiriki na kuporwa tena then mahakama ingetengua tena na tena.

2. Demokrasia inaonekana mfano kuelekea 2022 Odinga anazurura kila anapotaka tena kwa pesa za serikali same to Ruto wote wanatumia pesa ya serikali kupoga campaign na hujaona mmoja kaitwa mchochezi cjui zuio la mikutano kama hapa TZ.

So Demokrasia ipo zaidi ya huku.
 
""Mbaya zaidi mfumo huo wa majimbo unatoa mamlaka ya majimbo kuunda majeshi yao""

Hii sentence umechomekea.
Zipo nchi nyingi duniani zina mfumo huu lakini majeshi yanakuwa ni ya serikali kuu(overall).
Kama ni hivyo kwa waethiopia basi ni wao waliamua kuboresha kwani mfumo wa majimbo haukulazimishi kucopy kila kitu na haukukatazi kuongeza kitu.

Unaweza ukacopy lakini ukaiweka kwa namna inayokufaa. Tusiwe rigid.

Kwa Tanzania tukitaka tuige huu mfumo ni lazima pia tukae chini na tujadi ili tusije kudisturb mfumo wa maisha tuliyonao.
 
Uko Sahihi mkuu. Kwenye mfumo wa majimbo Serikali kuu inabaki kusimamia Jeshi la Ulinzi, Mambo ya Nje, kodi za shirikisho na mahakama ya rufaa/kuu.
 
Usijifunze kwa walioshindwa tu, Jifunze kwa waliofanikiwa huku ukiangalia alieshindwa alikosea wap ambapo mwenzake aliefanikiwa akukosea.

Sijamanisha mfumo wa mikoa nisahh au sio sahihi.
 
Unahamisha magoli eee?!!!

Ni kweli tu masikini ukitulinganisha na hao walioendelea.....ila ndio nyumbani kwetu.....hatuwezi kukukataa kwa uhalisia tulionao........

Hatuwezi kukubali waarabu waliotoka bara arabu wayasigine MAPINDUZI yetu matukufu......si lazima mambo yetu matukufu yawe kwao matukufu and vice versa is true.........

MAPINDUZI DAIMA
SIEMPRE JMT
 
Unakosa umakini wa kutembea na mtiririko wa mfano niliokupa........ulisema Tanganyika imekuja kueneza ukatoliki huko Zanzibar....nikakujibu kuwa Zanzibar iliyokuwa ya Jamshid juu yake kulikuwa na mwingereza na mwingereza bwana wa Jamshid ni muanglikana...je muanglikana alikubali Jamshid asaidie ukatoliki uenee huko?!!!
Hoja yangu ndiyo hiyo......nikaendelea kukukumbusha kuwa Jamshid alikuwa mfuasi wa Ibadhi....na kwa kuwa wazanzibari wengi ni wafuasi wa sunni basi hoja ya yeye kueneza uislamu wa ibadhi inakufa na kubaki kuwa kizazi chake kilikuja afrika kutafuta maslahi ya utawala wao......
Waafrika wenyewe tukainuka na kushirikiana kumfurusha kwa mabwana zake ,ubaya uko wapi hapo ?!!!!

Ulitaka waafrika wawe wanyonge wakatae mapambano dhidi ya waarabu ?!!! Kwanini ?!!!!

SIEMPRE JMT
 

Ndio kitabu hicho ,muingereza alimsaidia Jemshid kueneza uislamu?

Mapinduzi daima kwa Mtanganyika pia ? Kubambikizia kesi Za kigaidi Kwa wapinzani?akina Mbowe
 
Sawa kabisa naunga mkono hoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…