Mgogoro wa Ethiopia unadhihirisha umadhubuti wa mfumo wetu wa mikoa dhidi ya ule mfumo wa majimbo

Mgogoro wa Ethiopia unadhihirisha umadhubuti wa mfumo wetu wa mikoa dhidi ya ule mfumo wa majimbo

Mataifa mengi ya Africa yasiyokuwa na majimbo yameingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya serikali kuu kuhodhiwa na jamii fulani za wachache. Unapokuwa na serikali za majimbo yenye nguvu kama ilivyo US unaepusha mambo hayo kwa sababu serikali kuu inabaki kushugulika mambo machache muhimu ya baadhi za kodi, Majeshi na Mambo ya nje. Hiyo inaondoa uroho wa kugombania kuingia serikali kuu ili kudhibiti na kunufaika na rasilimali za nchi kwa ujumla.
Sikusikii ukizungumzia "shida ya local people used to abuse other communities when power was on their side"!

"Kichocheo kiaje"? - wakati kundi la watu katika eneo moja wanapojitambua kuwa wao wanahaki zaidi ya wengine, au sifa ya kipekee wanayojiona kuwa nayo wanayodhani inawafanya wawe zaidi ya wengine wasiokuwa eneo lao, hicho kinaweza kuwa kichocheo muhimu ya kuleta vurugu ndani ya nchi.
 
Mkuu nakukumbusha tu kuwa TPLF kilianzishwa mwaka 1975......na sasa ni CHAMA CHA SIASA pia.....kimeshawahi kuiongoza ETHIOPIA chini ya mwamvuli wa vyama....

Mkuu yaani unafananisha Banyamulenge na TPLF?!! Duuh hauko serious [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Umemsahau waziri mkuu aliyetawala muda mrefu hayati Meles Zenawi ?!!!!!

Na wewe ni wale wale tu! Nimesema wazi kuwa TPLF sio jeshi la jimbo, ni jeshi la kiasi. Jeshi la nchi ni ENDF. Period!! Yes, nimelinganisha na Banyamulenge coz nalo ni jeshi la uasi kama ilivo TPLF! Hauko sahihi, PSFT ndio chama cha siasa na military wing yake ndio TPLF.

Jua kufanya arguement mkuu - facts za kuanzishwa kwa TPLF, mimi kutokuwa serious, mimi kumsahau Meles Zenawi na muda aliotawa ni IRRELEVANT hapa! Points zako bado hazina connection na mada iliyo mezani, nikukumbushe - ni kinachodaiwa ni ubaya wa serikali za majimbo. Sijaona ukikanusha niliyosema wala kukubalina na mleta mada.

Nini maana ya wewe kuchangia kitu bila kuongeza thamani?? At times soma vitu upite tu!
 
Vurugu za Kenya mbona zimeanza hata kabla ya majimbo? In fact sahivi zimepungua sababu kila "kabila" lina serikali yake so linajipangia vipaumbele kuliko zamani ambapo wanufaika walikua wakikuyu/kalenjin pekee.

Tatizo waTZ tunapenda kufungamanisha vitu, mfano tatizo la Ethiopia ni kukosekana inclusive economy ila tunakimbilia kulaumu mfumo wa majimbo!!

Mfumo wa majimbo CHADEMA ni sawa tu na halmashauri zilizopo kuongezewa wigo wa mapato na maamuzi tofauti ni kwamba badala ya halmashauri ya Kalambo kusubiri maamuzi ya Dodoma, wao wanaregulate na serikali ya jimbo la Magharibi n.k. ila masuala kama ulinzi yanabaki kwa serikali kuu.

Tusipotoshe
Kenya kila jimbo wamechagua serikali pamoja na Gavana kama kiongozi wao na wanapewa bajeti kutoka serikali kuu ya kujiendesha pamoja wanakusanya kodi kwa matumizi ya jimbo . Mfumo huo umeshindwa kabisa tukianza na jiji la Nairobi Gavana wake aliondolewa na jiji hilo limeundiwa baraza chini ya Meja General. Wizi na ufisadi mkubwa umefanyika kwa mfumo huo wa majimbo chini ya viongozi hao. Kwa umoja wa Tanzania serikali ya majimbo haifai kabisaaa labda wanaotaka mpango hawaitakii mema Tanzania
 
Mwambie atolee mfano na Marekani baba lao

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Hao marekani si walishatufuana civil war,. Mambo hayo hayo majimbo fulani kutaka utumwa mengine hayataki
Unaona yani viongozi wa majimbo wana kuwa na sauti hadi wanafikia hatua ya kubeba silaha kupiga majimbo mengine ili tu kusimamia kwenye msimamo yao jambo ambalo kwa mfumo wetu wa mikoa ni hali wezi kutokea Eti viongozi wa mkoa wa aendesha uasi dhidi ya serikali
 
Kenya ilidumu na katiba mbovu kwa karibia nusu karne, unafikiria mambo yangenyooka na kuwa tambarare tu chini ya miaka isiyozidi hata kumi ya utekelezaji wa katiba mpya?

Wewe Mtanzania unawezaje kusema katiba ya Kenya imeshindwa wakati Wakenya wenyewe hawajasema hivyo?! Hakuna Mkenya mwenye akili timamu anayeweza kutamka hadharani anataka kurejea kwenye katiba yao ya zamani, na siku wakiwepo wakenya wa kutosha kutaka kurejea katiba na mifumo yao ya zamani hakuna mtu atakayaweweza kuwachelewesha hata dakika moja.
Kenya kila jimbo wamechagua serikali pamoja na Gavana kama kiongozi wao na wanapewa bajeti kutoka serikali kuu ya kujiendesha pamoja wanakusanya kodi kwa matumizi ya jimbo . Mfumo huo umeshindwa kabisa tukianza na jiji la Nairobi Gavana wake aliondolewa na jiji hilo limeundiwa baraza chini ya Meja General. Wizi na ufisadi mkubwa umefanyika kwa mfumo huo wa majimbo chini ya viongozi hao. Kwa umoja wa Tanzania serikali ya majimbo haifai kabisaaa labda wanaotaka mpango hawaitakii mema Tanzania
 
Mbona unapotosha;
Ruto na JK ni chama kimoja kinaitwa jubilee, in fact hiko chama kipya cha UDA ni moja ya vyama vilivyopo kwenye muungano wa Jubilee.

Then Rais angefariki wanarudi kwenye uchaguzi simple and clear sio sisi akifariki Rais basi makamu wake licha ya track record wala mandate ya watu anapewa tu Urais!!

Yes katiba mpya ya kenya ni bora kuliko yetu hasa kwenye kulinda uhuru wa bunge na mahakama ndio maana kuna uwajibikaji kuliko hapa kwetu.
Hakuna uwajibikaji wowote toka Kenya ipate katiba imekuwa vurugu za kisiasa Rais na Makamu toka uchaguzi uishe 2017 wapo kwenye malumbano. Ufisadi kupitia serikali ya majimbo umeongezeka sana chuki na siasa za kikabila zimezidi mno na kuna wasiwasi uchaguzi mkuu mwakani kutokea vurugu kubwa. Tanzania chini CCM tupo salama sana. Mwalimu alisema 1995 "We can not let the country goes to the dogs "
 
Kenya ilidumu na katiba mbovu kwa karibia nusu karne, unafikiria mambo yangenyooka na kuwa tambarare tu chini ya miaka isiyozidi hata kumi ya utekelezaji wa katiba mpya?

Wewe Mtanzania unawezaje kusema katiba ya Kenya imeshindwa wakati Wakenya wenyewe hawajasema hivyo?! Hakuna Mkenya mwenye akili timamu anayeweza kutamka hadharani anataka kurejea kwenye katiba yao ya zamani, na siku wakiwepo wakenya wa kutosha kutaka kurejea katiba na mifumo yao ya zamani hakuna mtu atakayaweweza kuwachelewesha hata dakika moja.
Utapata jibu la hasara ya katiba hiyo ya Kenya mwaka kesho wakati wa uchaguzi
 
Rwanda, Burundi, Sudan ya Kusini, Msumbiji, Sierra Leone, Ivory Coast, Chad na nyingine nyingi zimekuwa na vita vya ndani wakati serikali zao sio za majimbo.
Hao marekani si walishatufuana civil war,. Mambo hayo hayo majimbo fulani kutaka utumwa mengine hayataki
Unaona yani viongozi wa majimbo wana kuwa na sauti hadi wanafikia hatua ya kubeba silaha kupiga majimbo mengine ili tu kusimamia kwenye msimamo yao jambo ambalo kwa mfumo wetu wa mikoa ni hali wezi kutokea Eti viongozi wa mkoa wa aendesha uasi dhidi ya serikali
 
Funga domo lako sasa hadi mwaka kesho baada ya uchaguzi ndio ulifungue.
Utapata jibu la hasara ya katiba hiyo ya Kenya mwaka kesho wakati wa uchaguzi
 
Funga domo lako sasa hadi mwaka kesho baada ya uchaguzi ndio ulifungue.
Unajua wewe akili bado changa sana kwenye siasa za Africa mashariki huo uchizi wenu msitegemee taifa hili likabidhiwe kwa matahira ya aina yako
 
Cape Delgado- Msumbiji
Nigeria- Kano/Katsina

Tunachomaanisha uwezo wa kumudu mgawanyo wa majimbo na utatuzi wa changamoto zake. Haina maana kwamba haiwezekani.

..nadhani matatizo waliyonayo wenzetu ktk majimbo yameanza kutunyemelea ktk mfumo wa mikoa tulio nao.

..unapokuwa na watawala wasiotenda HAKI hakuna mfumo wowote wa utawala utakaoweza kudumu.

..ni rahisi zaidi kukandamiza raia ktk mfumo wa mikoa, na centralized, kama wetu, ukilinganisha na mfumo wa majimbo.

..nadhani hali hiyo ndiyo inayowafanya watawala wetu waogope mfumo utawala wa majimbo.
 
Kuogopa serikali za majimbo kisa matukio ya Ethiopia ni muendelezo ule ule wa woga wa Watanzania.
Serikali za majimbo hufanya vizuri sana kwenye nchi kubwa na zinazojitambua!
Kiongozi akibugi wananchi watafanya maamuzi wanayoona yanafaa!!
 
Yaani tusitoe mawazo yetu ya kujenga nchi kwa kuogopa kuwa tutaitwa tunajipendekeza ?!!! Khaaa 😳😳

Mawazo ya ajabu kabisa haya duuuh 😳😳

CCM ina vijana wengi....yaani wote wateuliwe ilihali uteuzi si tu kwa ajili ya vijana ?!!

Hapa tunajadili mapungufu ya Sera za MAJIMBO hususani barani Afrika kwa mustakabali mwema wa taifa letu na kukua kwake zaidi ya hizo nafasi za uteuzi na maslahi ya mtu mmoja mmoja......

Amka wewe......

SIEMPRE JMT
Mkuu jumbe unaupiga mwingi sana. Nakupongeza. Mfumo wa majimbo haufai kabisa. Hata pasipo na vita bado ni mfumo wa kibaguzi mno. Nchi zenye huo mfumo huwa zinajikuta baadhi ya majimbo yanakuwa nyuma kimaendeleo kwa sababu majimbo mengine hayana natural resources za kutosha. Kwa mfano majirani zetu Zambia wana jimbo tajiri la Copperbelt ambapo huko mambo ni swafi kuanzia barabara hadi uchumi wa mtu mmojammoja kwasababu ya uwepo wa madini. Lakini ukienda Northern Province ni kama vile umeenda nchi jirani kwa jinsi kulivyochakaa. Kiufupi Mwalimu Nyerere na waasisi wengine walikuwa na akili za ziada
 
Haki ya Mungu,, upuuzi mtupu,, tatizo Africa hakuna Democracy zaidi ya bwebwe tu,, huku Tanzania wananchi wake wengi wao hawajitambua, wanaojitambua hawazidi asilimia 20%, wengi wao ni zero kabisa ndiyo maana umaskini umetawala kwa propaganda za chama changu CCM na hao vijana wa Lumumba ambao wengi wao wazazi wao wanafanya kazi serikalini na wengine wazazi wao ni watoto wa vigogo kwenye makampuni ya Uma na maisha bora,,
Umaskini unaongezeka badala ya kupungua chini ya hawa ndugu zangu CCM
Kununua Ndege, kujenga SGR, kujenga bwawa la umeme, kujenga fly over eti ndiyo kupunguza umaskini,,
 
Mkuu jumbe unaupiga mwingi sana. Nakupongeza. Mfumo wa majimbo haufai kabisa. Hata pasipo na vita bado ni mfumo wa kibaguzi mno. Nchi zenye huo mfumo huwa zinajikuta baadhi ya majimbo yanakuwa nyuma kimaendeleo kwa sababu majimbo mengine hayana natural resources za kutosha. Kwa mfano majirani zetu Zambia wana jimbo tajiri la Copperbelt ambapo huko mambo ni swafi kuanzia barabara hadi uchumi wa mtu mmojammoja kwasababu ya uwepo wa madini. Lakini ukienda Northern Province ni kama vile umeenda nchi jirani kwa jinsi kulivyochakaa. Kiufupi Mwalimu Nyerere na waasisi wengine walikuwa na akili za ziada
Shukran mkuu wangu 🙏

Duuh ni hatari kwa kweli....tatizo letu baadhi ya vijana tuna mihemko sana....tunataka Tanzania iwe Kama ubelgiji ama USA....ilihali historia yetu imefinyangwa kutosadifu maisha yao.....

Katika hili nitaendelea kumsifu sana baba wa taifa na makomredi wenzake....wametuachia tunu adhimu ya kuengwaengwa💪

Siempre JMT
Nchi Kwanza
Kongole Kwa Waasisi Wetu Wa Taifa👍
 
..nadhani matatizo waliyonayo wenzetu ktk majimbo yameanza kutunyemelea ktk mfumo wa mikoa tulio nao.

..unapokuwa na watawala wasiotenda HAKI hakuna mfumo wowote wa utawala utakaoweza kudumu.

..ni rahisi zaidi kukandamiza raia ktk mfumo wa mikoa, na centralized, kama wetu, ukilinganisha na mfumo wa majimbo.

..nadhani hali hiyo ndiyo inayowafanya watawala wetu waogope mfumo utawala wa majimbo.
Hiki ndicho ninachomaanisha. Ndiyo maana majimbo kwa akili za viongozi wengi wa kiafrika ni kutafuta matatizo.
 
Tanzania hakuna majimbo ila ukitoka Morogoro ukienda Lindi ni kama umefika nchi nyingine pia.
Mkuu jumbe unaupiga mwingi sana. Nakupongeza. Mfumo wa majimbo haufai kabisa. Hata pasipo na vita bado ni mfumo wa kibaguzi mno. Nchi zenye huo mfumo huwa zinajikuta baadhi ya majimbo yanakuwa nyuma kimaendeleo kwa sababu majimbo mengine hayana natural resources za kutosha. Kwa mfano majirani zetu Zambia wana jimbo tajiri la Copperbelt ambapo huko mambo ni swafi kuanzia barabara hadi uchumi wa mtu mmojammoja kwasababu ya uwepo wa madini. Lakini ukienda Northern Province ni kama vile umeenda nchi jirani kwa jinsi kulivyochakaa. Kiufupi Mwalimu Nyerere na waasisi wengine walikuwa na akili za ziada
 
Wa

Wazo la kijinga. Katiba mbovu ndiyo imepelekea mtu ambaye hakuwahi hata kuwaza kuwa rais sasa ndiye Rais. Yaani hata hajawahi kuwa hata waziri wa serikali ya muungano leo anaendesha nchi. Anajua nini zaidi ya kushikwa akili.!?
Duuuh mkuu mbona umejiweka mbali na UHALISIA ?!!!

Mh.Rais SSH amepata kuwa WAZIRI wa nchi ofisi ya makamu wa Rais Muungano.......🤣
 
Hayati Kaunda aliweka precedent kama ambavyo hayati Jerry Rawlings wa Ghana na yule wa Malawi Kamuzu, kitu ambacho hayati Nyerere alikataa kufanya kule Zanzibar. Kaunda angekataa kuachia madaraka angeweza , Jerry pia angeweza kule Ghana kuhakikisha mgombea wa chama chake anatangazwa. Nyerere alikataa hilo lisitokee Zanzibar 1995, kwa hiyo kinachotokea Zanzibar leo ni zao la dhambi ile. Je, kama kipande kile kidogo cha Zanzibar wako tayari kuua watu ili wasikiachie, watakuwa tayari kuliachia pande kubwa la Bara!? Jibu ni hapana.
Huko kwingine wazee wa TaifA walishaonesha mfano kuwa kuachia madaraka ni jambo sahihi unaposhindwa uchaguzi.
Na ndilo kosa la awamu ya kwanza ( kufungamanisha chama na system za serikali na chama kushika hatamu). Kosa ambalo mpaka leo bado hakuna aliyerekebisha.
 
Back
Top Bottom