Haki ya Mungu,, upuuzi mtupu,, tatizo Africa hakuna Democracy zaidi ya bwebwe tu,, huku Tanzania wananchi wake wengi wao hawajitambua, wanaojitambua hawazidi asilimia 20%, wengi wao ni zero kabisa ndiyo maana umaskini umetawala kwa propaganda za chama changu CCM na hao vijana wa Lumumba ambao wengi wao wazazi wao wanafanya kazi serikalini na wengine wazazi wao ni watoto wa vigogo kwenye makampuni ya Uma na maisha bora,,
Umaskini unaongezeka badala ya kupungua chini ya hawa ndugu zangu CCM
Kununua Ndege, kujenga SGR, kujenga bwawa la umeme, kujenga fly over eti ndiyo kupunguza umaskini,,