mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,268
- 3,439
ndivyo ilivyo mkuu.Duuh unamaanisha waTanzania bado hatujaelimika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndivyo ilivyo mkuu.Duuh unamaanisha waTanzania bado hatujaelimika?
Tanzania ni nchi moja iliyoundwa kwa muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar. Kwa hiyo Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili na sio moja. Acha porojo za kiccm za kudai 9 desemba ni uhuru wa Tanzania Bara.Unaingiza dini ili ulete taharuki...nimeshakujibu katika comment nyingine angalia hapo chini......
Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja.....nguvu ya KUYALINDA MAPINDUZI matukufu hutoka pande zote na ndio maana kufikia leo HAYAJANAJISIWA......
Kuhusu sttatement yako ya mwisho, Labda nikuulize dhuluma za uchaguzi zinazofanywa na chama chenye dola huwa ni kwa maslahi ya nani !? Maslahi ya wananchi au wenye chama!? Kama ni ya wananchi, je kwa nini maamuzi ya wenye nchi yasiheshimiwe!? Au wenye chama ndiyo wamiliki wa nchi!? Au wale wasio chama dola nao waingie msituni kama alivyowahi kushauri Museveni maana naye aliingia msituni? Ila hapa nchini maslahi ya ccm ni makubwa kuliko ya nchi na ndio maana wako tayari kuiba fedha BoT ili kugharamia uchaguzi.Ninekufafanulia nilichomaanisha bado tu unaendeleza "obsessive compulsion".......
MAPINDUZI ni lazima yalindwe dhidi ya yeyote.....
Utulivu na amani iliyopo ilitokana na gharama kubwa nyuma yake....kwanini tuzirudie gharama hizo kwa SIASA KINZANI TU?!!!
Maslahi ya nchi ni makubwa zaidi ya malengo na matakwa ya vyama vya siasa.......
SIEMPRE JMT
Kama ni nchi mbili mbona Zanzibar haina kiti cha kudumu umoja wa mataifa?!!!U
Tanzania ni nchi moja iliyoundwa kwa muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar. Kwa hiyo Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili na sio moja. Acha porojo za kiccm za kudai 9 desemba ni uhuru wa Tanzania Bara.
Hili ndio tatizo kuu la Ethiopia yaani ukabila, hayo ya majimbo sio kweli.Tatizo lao kuu si majimbo bali ni kuendelea kuwepo kwa vikundi vya kijeshi chini ya miamvuli ya vyama vya siasa vya kikabila vinavyotawala majimbo. Ethiopia huwezi kuwa na chama cha siasa ambacho sio cha kikabila. Na wako tayari kwa mapambano hata kumwaga damu wakihisi wanaonewa.
Upo sahihi kabisa, mazingira yetu ya kisiasa ni tofauti kabisa na Ethiopia hivyo serikali ya majimbo haiwezi kutuigawa au kuivunja nchi hao wanaotumia Ethiopia kupinga huo mfumo huenda wanapotosha tu makusudi au hawaijui historia ya Ethiopia.Tanzania hatuna vikundi vya kijeshi vya kikabila. Vyama vya siasa si vya kikabila. Rais wa JMT ndiye mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Watanzania wameshachanganyika sana kijamii, kisiasa na kijiografia. Hakuna namna mgawanyiko kama wa Ethiopia unaweza kutokea.
Je, Tanganyika ina kiti huko!? Naona unajaribu kutonielewa. Wewe umeandika "Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja" . Na mimi niamendika Tanzania ni nchi moja iliyoundwa kwa muungano wa nchi mbili Zanzibar na Tanganyika" Kwa hiyo kuandika kuwa Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja huo ni uongo.Kama ni nchi mbili mbona Zanzibar haina kiti cha kudumu umoja wa mataifa?!!!
Kwani kimeondoshwa?au ulikivunja wewe miguu kikatupwa?Kama ni nchi mbili mbona Zanzibar haina kiti cha kudumu umoja wa mataifa?!!!
Mbona tuna vyeti vya kutosha vya darasani ni elimu ipi unayoitaja wewe? Au ya kuruka na ungo?ndivyo ilivyo mkuu.
Chukua K-Vant kubwa 3 nitalipa.umeandika sahihi, lakini umejikita kwenye sehemu moja ya aina ya mfumo wa uongozi wa nchi. Lakini changamoto za Ethiopia ni zaidi ya hizo. Kinacholeta ukosefu wa amani ni kwa sababu ya serikali ya Abby kuwa wabinafsi na madikteta. Unajua kwa Nini kabla ya Abby migogoro hii haikuwa na Nguvu au haikuwepo? Ni kwa sababu wenzao Watigray walibalance uongozi bila ubaguzii.
Kitu kingine ni aina ya Wananchi. Watanzania wengi wao ni kama mazombie. Hata uwafanye Nini hawezi kuchukua hatua, Ndio maana unaona Kiongozi anafanya anavyotaka na haguswi, Yaani hawajibishwi na raia. Ndio maana kwenye tozo wakasema Watanzania watazoea tu. Na kweli mmezoea.
Sasaivi bei ya mbolea juu, hakuna anayeona, watu wanalia kimyakimya, Tanzania Ina mambo mengi ambayo yangeweza kuwafanya waende msituni au waandame ila kwa sababu ya uzombi Ndio maana kila ripoti ikija Tanzania nchi isiyo na furaha sawa na somalia, Libya, Burundi na Kongo kwenye vita.
In short kila mtanzania anaandamana na kupigana na serikali hii motoni mwake. Ndio maana watu wanazidi kuchakaa. Maandamano ya moyoni ni mabaya kuliko maandamano ya dhahiri. Hope nimeeleweka.
Unatumia kinywaji gani kaka?Nidhamu ya woga ndo inafanya CCM kuogopa mfumo wa majimbo.
Faida za mfumo wa majimbo ni lukuki kuliko hasara zake.
Imagine jimbo la victoria (MWANZA, SHINYANGA,MARA,KAGERA) wasimamie rasilimali zao kwa ajili ya wananchi wao.
Bulyanhulu,almasi,ziwa Victoria, serengeti.
Jimbo la kaskazini (Arusha,Kilimanjaro,Tanga)
Wasimamie rasilimali zao mlima,mbuga,bandari,tanzanite.
JIMBO LA KUSINI (Mtwara,lindi,Ruvuma)
Wasimamie Korosho,Gesi,Mawese,Tumbaku.
Jimbo la Nyanda za juu kusini (Iringa,Mbeya,Songwe)
Wasimamie wenyewe rasilimali zao Kilimo cha mazao ya chakula, kilimo cha miti.
Jimbo la Pwani (Dar es Salaam, Pwani)
Wasimamie rasilimali zao Pwani ni eneo la Viwanda, Bandari ya Dar.
ETC.
na majimbo mengine yoote.
DODOMA IBAKI KUWA JIMBO HURU. FREE STATE SHUGHULI ZOTE ZA SERIKALI KUU ZIWE ZINAFANYIKA DODOMA BILA KUATHIRIWA NA SERIKALI ZA MAJIMBO.
Serikali kuu iwe msimamizi wa shughuli za serikali za majimbo...
Serikali za majimbo ziwe na maamuzi juu ya shughuli kwayo.
CCM wanafaidika sana na huu mfumo wa mikoa kwa sababu unaendeleza umaskini wa kupindukia mtaji wa CCM ni masikini the so called Wanyonge... Uwepo wa wanyonge wengi ndo uhai wa CCM.
FAIDA YA MAJIMBO NI FREE AND FAIR COMPETITION MAJIMBO YATAPAMBANA KUVUTIA WAWEKEZAJI MFANO JIMBO LA KASKAZINI LITAPAMBANA KUVUTIA WATALII... shughuli za kuvutia watalii hazitasimamiwa na TANAPA BALI NA TOURISM DEPARTMENT YA JIMBO HUSIKA.
JIMBO LA KASKAZINI LITAPAMBANA KUHAKIKISHA WANAKUWA NA KILIMANJARO AIRWAYS.
HUU MFUMO WA MAJIMBO NI HATARI SANA KWA UHAI WA CCM KWANI LITAWAFUMBUA MACHO HADI MAJIMBO YENYE RASILIMALI CHACHE KUPAMBANA.
CCM hawahitaji nchi hii iwe na raia wengi matajiri ndo maana wamachinga,bodaboda,wanaobadilisha fedha za kigeni walisumbuliwa sana kipindi cha mwendazake.
Mfumo wa sasa wa mikoa umewekwa kuhakikisha unaipa pumzi CCM.
Mtaji wa CCM ni umaskini,ujinga na maradhi. Hivi vikitoweka na CCM itatoweka.
#KATIBAMPYANISASA
Bro hebu Google zaidi juu ya armed forces za ndani ya majimbo ya AmericaKiongozi wa jimbo hawezi kuwa Rais wa jimbo kwa sababu hana majeshi yanayomtii.
Sehemu zote zenye serikali ya majimbo mkuu wa majeshi ni Rais wa Shirikisho.
Magavana wa majimbo Marekani sio Marais wa majimbo, hawana majeshi wanayoyasimamia, hawana mabalozi nje ya nchi na wote wanasikiliza mahakama kuu moja ya shirikisho kwenye maamuzi ya haki.
Bro hebu Google zaidi juu ya armed forces za ndani ya majimbo ya America
Marekani wana federal army halafu majimbo pia yana forces zake mzee.
Ndio maana enzi za ubaguzi, kulikuwa na utata ambapo jimbo la Arkansas na gavana wake na jeshi lake la ndani walizuia black students kusoma katika shule ya little Rock high school,
Ikabidi rais wa enzi hizo atume federal army kupambana na gavana na wafuasi wake na hiyo armed forces yake
Kwa hivyo mitano ipo ya majimbo kufika huko kwenye kutumia army kupiga serikali ya kitaifa
Na si hivyo tu mfano iko mingi huko marekani ya majimbo kugombana, kama vile, mgogoro wa maji ya mto Colorado, mto una pita katika majimbo makame na ni chanzo cha maji cha majiji kama Los Angeles , kuna utata mkubwa wa matumizi ya rasilimali hiyo, kila jimbo linaona linaonewa na California inayotumia maji kupita majimbo mezake
Pia kumbuka Civil War huko USA u majimbo ulinogesha ile vita vilivyo
Ndugu ushahidi huu ka googleMkuu wa wa Army, Navy, Marines, Air Force, Space Force na National Guard ni Rais wa Marekani na mkuu wa hayo majeshi yote ni Rais wa Marekani. Hakuna majeshi ya majimbo Marekani.
Mkuu jumbe unaupiga mwingi sana. Nakupongeza. Mfumo wa majimbo haufai kabisa. Hata pasipo na vita bado ni mfumo wa kibaguzi mno. Nchi zenye huo mfumo huwa zinajikuta baadhi ya majimbo yanakuwa nyuma kimaendeleo kwa sababu majimbo mengine hayana natural resources za kutosha. Kwa mfano majirani zetu Zambia wana jimbo tajiri la Copperbelt ambapo huko mambo ni swafi kuanzia barabara hadi uchumi wa mtu mmojammoja kwasababu ya uwepo wa madini. Lakini ukienda Northern Province ni kama vile umeenda nchi jirani kwa jinsi kulivyochakaa. Kiufupi Mwalimu Nyerere na waasisi wengine walikuwa na akili za ziada
Shangaa na Scotland ,Wales na Ireland kutokuwa na kiti hapo umoja wa mataifa.......Kwani kimeondoshwa?au ulikivunja wewe miguu kikatupwa?
Nakusubiri unijibu maswali yangu usikimbie
Ndugu ushahidi huu ka google
Marekani wana kitu kinaitwa state de fence forces, ambazo zipo chini ya Magavana wa majimboView attachment 2010526
TANGANYIKA ilikuwa na kiti kabla ya Muungano.....leo ni kimoja tu kwa ajili ya URT........Je, Tanganyika ina kiti huko!? Naona unajaribu kutonielewa. Wewe umeandika "Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja" . Na mimi niamendika Tanzania ni nchi moja iliyoundwa kwa muungano wa nchi mbili Zanzibar na Tanganyika" Kwa hiyo kuandika kuwa Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja huo ni uongo.
Labda hujui kiingereza nikusaidie,Hayo sio majeshi, ni kama walivyo mgambo.
Mimi sijakuuliza Scotland wala Wales , nakuuliza unao ushahidi kiti cha Zanzibar kimeondoshwa? Au ulikiondosha wewe baada kukivunja miguu?Shangaa na Scotland ,Wales na Ireland kutokuwa na kiti hapo umoja wa mataifa.......