Mgogoro wa Israeli na Wapalestina unapima akili ya Mzungu

Mgogoro wa Israeli na Wapalestina unapima akili ya Mzungu

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2007
Posts
8,189
Reaction score
7,853
Waarabu wanapima kuwajua wazungu kama ni watu kamili kama wao au wana uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao.

Hata nguruwe ukiwapa kichapo na jambia TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako kwa njia ya conditioning (ushawishi) tu bila kutumia akili zao.

Waarabu wanajua kuwa rafiki mkubwa wa Wazungu ni waisraeli kuliko watu wa Palestinia na wachina. Magharibi wanajua kuwa huu ni wakati wa wapaleatina kurudisha hisani kwa marafiki zao wakubwa wa urusi na China kwa kuwaunga mkono kwenye dhiki Yao inayowapata sasa kama vile wao walivyowaunga mkono wakati wakitawaliwa na nchi ya israeli, wakati wa kujikomboa na wakati kuyaunda majeshi yao.

Nchi za Wazungu Ulaya zinameza maneno kusema zimuunga mkono israeli waziwazi kwa kuhofia kukosa nguruwe na nafaka wanazotupiwa na Waarabu.

Kufanya hivyo kitakuwa kipimo halisi cha waarabu kuhu ubinadamu wa Wazungu Maana binadamu kamili Yuko assertive. Mzungu ni muoga, ana aibu, na ana ubongo tegemezi.
 
Da! mkuu umeamua kumjibu kavulata kwa mfano mubashara ili apate kuelewa vizuri dunia inavyokwenda!!! any way umetoa mfano mzuri sana...
 
Da! mkuu umeamua kumjibu kavulata kwa mfano mubashara ili apate kuelewa vizuri dunia inavyokwenda!!! any way umetoa mfano mzuri sana...
....kuna Suala ambalo halionekani humu Jamvini. Ujue kuna magenge yaliyopo mahususi kwa ajili ya Kudhihaki Mwafrika na wanatumia Lugha au Maneno yanayopita kwenye darubini za Jamvi hili...mfano mzuri ni Kichwa cha mada yake tofauti na maudhui yake au wanaunga unga tu. Majibu yake na wachangiaji wake(genge) ni muendelezo wa dhihaka na kejeli dhidi ya Mtu mweusi....naamini fika maneno kama Kutupiwa Ndizi ni ya Kibaguzi, yaani kufafanishwa mwafrika kama Nyani au Tumbili ni flat out Racist. Niliripoti hakikufanyika kitu, nikabadilisha Mwafrika na kuweka wasimamizi, aisee walikuja wakafuta post yangu. Ushahidi ninao....



....lakini tayari ilishaonyesha maneno hayo yalikuwa offensive kwao, ila wakaacha bandiko(content) la mleta mada lililosema maneno hayo hayo, sasa kwa maoni yangu Imeonyesha aidha wasimamizi hawajali athari au madhara yatokanayo na matusi hayo ya jumla jumla dhidi ya Mwafrika kwa kigezo cha kulinda free speech...ukumbuke wasimamizi walifuta post yangu iliyokuwa na maudhui hayohayo, yaani nilitumia mbinu inayotumika na watafiti wa Ubaguzi inayoitwa "resume edit" method Marianne Bertrand & Sendhil Mullainathan, 2004. kimsingi inaondoa jina tu katika CV za watu, sasa hapa niliondoa neno mwafrika na kuweka wasimamizi-yaliyotokea ni historia.
Zipo nyuzi nyingi sana kama hizo Jamvini hapa.
 
Back
Top Bottom