Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Hatimaye Malawi yakubali kuwa ziwa ni la nchi zote 3

Hongereni sana ndugu zetu wa Malawi mje kuoa huku kama mpendavyo sasa manake sisi ni ndugu.
 
Walichukue tu hatuna kazi nalo, hasa hasa tutakuja kuwapa wajomba zetu.
 
kwahiyo upande wa kwetu ni letu lote mpaka kwenye fukwe zao, ila msumbiji kuna mpaka katikati ya inteneshino wota
 
Ndo Raha nchi inapooongizwa na Upinxani kama malawi
Labda kule, Huku wapinzani walikuwa wanaitetea Malawi wakati wa Jk (mgogoro ulipopamba moto) wakati wapinzani wa kule wakiungana na serikali yao kuitetea Malawi yao. Malawi wamebadili msimamo Sasa hivi kutokana na kuvutiwa na sera na uongozi wa Mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan, ukipenda muite The Mother of Modern Tanzania.

Pole sana nyumbu, najua upo kwenye maumivu makali mnoooo lakini ndo hivyo tena; kwa mama Samia mambo yanaenda bila maguvu. Nimeandika hili Ili nyumbu wenzako wa lissu kutoka chadema chakavu wajue na hatimaye msaidiane kuyakabili maumivu.
 
Hiyo barua haina sahihi ya mwandishi labda ni ya mchongo
 
UKWELI upo ivi kwamiaka mingi Malawi walikuwa wadai Ziwa lote ni Maii yao !!!

Tanzania tulipinga iyo zana yao kisheria tena Sheria za kimataifa !!

kwaiyo wao walikuwa wamebakia tu kichwa ngumu lkn pia walikuwa wanatumia Ziwa ilo ilo kama turufu za Kisiasa kwao !!!

sio Ajabu uko mbele akatokea kiongozi wa Upinzani na kudai mkinichagua mimi Ziwa narejesha litakuwa tena Mali ya Malawi tu.!!!

Wao Malawi Wagombea awatowai acha kutumia ilo ziwa kwenye kutafuta kula kwa wananchi waliowengi pembezoni mwa Ziwa

inakuwa ni Siasa tu lkn kwasasa Kisheria wameweka mambo sawa. !!!

Kwann Tanzania ilitakiwa kusimamia Sheria ya kimataifa kupata Haki yake migogolo mingi ukiwemo wa Cameron kuusu mipaka ya majini. !!!

Ipo wazi ivi kama sio iyo Sheria kutaka MIPAKA iwe katikati ya Maji usawa wa ukubwa wa eneo !!

kama sio Sheria iyo tungebaki na maono ya MALAWI kuwa Ziwa lote ni Mali yao manake ni MAJI yote ni yao sasa migogolo isingekwisha mana maji yote yao mwisho wa maji ndio mwanzo wa Tanzania !!!¿¿

shida inakuja maji ayabaki Seem moja sisi tutajenga nyumba kwenye Ardhi yetu manake mwisho wa maji ndio kwetu baada ya miaz 3 Maji yanajaaa umbali wa Km 1+ Manake Kwa maono ya Malawi Watanzania wamejenga kwenye Maji yao ivo sisi niwavamizi ¿¿¿ !!!

ndiomana Sheria ya kimataifa ikaweka mipaka iwe mnagawana maji nusukwanusu apo ndio Mpaka. Wenu Katkt ya Ziwa!!!

Sasa mgogolo umeisha Rasmi !!

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN kafanikiwa chiniyake na wasaidizi wake kumaliza Mgogolo tunapaswa kumshukuru sana !!!

Tukumbuke kuna wakati Majesh yetu ilibidi yatumike kutatua Mgogolo wa ZIWA nyasa ulipokuwa Wamoto kwaiyo aikua poaaa !!!

naunga mkono RAIS SAMIA ni Mpango wa MUNGU mitano 5 tena. Nchi itasonga mbele zaidi. MUNGU AMPE AFYA NJEMA kiongozi wetu..
 
Kama ni kweli, wamefanya uamuzi wa busara sana.
 
Jambo jema sana, siku tukipata wanadiplomadia wenye shukrani wataenda Malawi kushukuru, hata kwa kuwapa zawadi flani. Ugomvi wa namna hii huwa hauishi kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…