Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Tuliosomea unajimu wa nyota hapa tumekuelewa [emoji847]1: Sawa Ile Simba ilikuwa ni Bora sana.
Ilikuwa na wachezaji wazuri kama....
Miquesson.
Lwanga.
Mugalu.
Bwalya.
Kagere.
Dilunga nk.
2. Nguvu inayotumika uwanja wa Mkapa ilikuwa ni kubwa Sana.
Hakuna mchezaji yoyote Simba wa kufananisha na hao.
Kwahyo huyo dogo ameletwa Kuja kuwaahada wanasimba hvyo amelipiwa per diem na rearvation zote huu Ni ujinga sanaManzoki kaonekana uwanjani Leo kwenye mchezo na Coastal Union na kwa jinsi tunavyojua viongozi wamemleta ili kumpigia debe mgombea mmoja aonekane ni mkweli kwenye hoja zake za kuomba kura.
Tunajua Mangungu anapewa nafas kubwa ya kushinda na sababu za kumgharamia Manzoki ni kuwa kesho atapewa nafasi ya kuwaeleza wana Simba kuwa ameshindwa kujiunga kwa sababu ameumia huko China lakini msimu ujao atacheza Simba.
Upumbavu mtupu, kesho hatudanganyiki sisi.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kaletwa kimkakatiKwa hiyo amekuja kama msimamizi wa uchaguzi kutoka nje?
Wewe ni Uto?We mbumbumbu kolo uto imeingiaje hapo?
Kwamba Simba au yanga watafanya kama hao waspain?Ahadi za kuleta wachezaji wakubwa kwenye chaguzi za vilabu zinatumika sana hata Ulaya. Fuatilia kampeni za viongozi wa Real Madrid na Barcelona utalijua hilo. Kama kwako ni geni, basi vumilia maumivu. Utalizoea tu!