GE2025 Mgombea CHAUMMA achanganya mafaili akifikiri bado ni CHADEMA, asema 'Peoples'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Lumola Kahumbi mwanachama wa CHAUMMA na mgonbea ubunge wa jimbo la Bariadi amejikuta akitamka neno "pipoziiiiii" mbele ya wanachama wa CHAUMMA

Hali iliyozua mshangao kabla ya bwana Lumola kurekebisha kauli yake

Ikumbukwe kuwa Lumola alikuwa mwanachama wa Chadema kabla ya kuhamia CHAUMMA

Wewe ni Chadema unajifanya Chauma! Haya mambo ya ku act lazima utachanganya madesa tu. Wewe ni mlokole unajichanganya kwenye vijiwe vya wavuta bangi ukijifanya na wewe ni muhuni, kuna siku utajisahau kijiweni utawaambia wahuni "bwana yesu asifiwe".
 
Lumola Kahumbi mwanachama wa CHAUMMA na mgonbea ubunge wa jimbo la Bariadi amejikuta akitamka neno "pipoziiiiii" mbele ya wanachama wa CHAUMMA

Hali iliyozua mshangao kabla ya bwana Lumola kurekebisha kauli yake

Ikumbukwe kuwa Lumola alikuwa mwanachama wa Chadema kabla ya kuhamia CHAUMMA

Chaumwaaa😂😂😂😂
 
IMG-20250827-WA0001.jpg
 
Lumola Kahumbi mwanachama wa CHAUMMA na mgonbea ubunge wa jimbo la Bariadi amejikuta akitamka neno "pipoziiiiii" mbele ya wanachama wa CHAUMMA

Hali iliyozua mshangao kabla ya bwana Lumola kurekebisha kauli yake

Ikumbukwe kuwa Lumola alikuwa mwanachama wa Chadema kabla ya kuhamia CHAUMMA

Na wameitikia pawa 😂
 
Back
Top Bottom