OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Imeisha hiyoo kwa sasa ni YEYE [emoji3577]Huoni Nyerere Hydroelectric power plant inajengwa, au huoni kwamba huyo John ameshachukua hatua kupunguza gharama za umeme? Aliondoa kero ya service charges ambayo kiukweli imesaidia sana.
Huyo Nondo na wewe hamna tofauti, ukisoma twita zake hana hoja...!!
Miaka zaidi ya 60 wapo madarakani na bado wanashangaa kwanini Tanzania ni maskini!!All in all, kama miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika walishindwa watawezaje kwa miaka mitano?
Wacha uongoMzee ameanza kuiponda miaka yake mitano tena.
Sema wewe ukweliWacha uongo
Huoni Nyerere Hydroelectric power plant inajengwa, au huoni kwamba huyo John ameshachukua hatua kupunguza gharama za umeme? Aliondoa kero ya service charges ambayo kiukweli imesaidia sana.
Huyo Nondo na wewe hamna tofauti, ukisoma twita zake hana hoja!
Huyu Mdingi Kuna muda namshukuru kwa kuiua CCM ,na tar 28 tunaizika rasmi.Katika kpindi hiki kigumu kuna maajabu mengi sana yanaendelea kutokea. Kwa kiasi kikubwa chanzo cha maajabu yote haya ni huyu Tundu Lissu. Mfano wa maajabu ni suala la bei ya umeme. Kule Kigoma mgombea wa CCM Dkt.Magufuli amemlaumu na kumshangaa Rais Magufuli kwa kushindwa kuweka ahueni ya gharama za umeme.
Vivo hivyo na suala la uwepo wa Mtanzania mnyonge. Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani kilio kikubwa ilikuwa ni uwepo wa Mtanzania mnyonge ambaye amempigania kwa hali na mali. Amekuja huyu mgombea Dkt. Magufuli katika kuomba kura anamlaumu Rais Dkt. Magufuli kwa kushindwa kumuondolea unyonge. Kwa hiyo anaahidi miaka mitano atajitahidi.
Haaaa haaa Just Haaaaa haaa
Hizi bei kazikuta, there's nothing he can do as running costs za tanesco ziko juu, hawezi kupunguza gharama za umeme as umeme bado hautoshi.....lakini cha ajabu mgombea Urais John Pombe Magufuli anamlaumu Rais anayemaliza muda ndg John Pombe Magufuli kwa bei kubwa za umeme Tanzania!!
Ivi mbona siku hizi sisikii tena Tanzania ya viwanda kulikoni jameni ?Katika kpindi hiki kigumu kuna maajabu mengi sana yanaendelea kutokea. Kwa kiasi kikubwa chanzo cha maajabu yote haya ni huyu Tundu Lissu. Mfano wa maajabu ni suala la bei ya umeme. Kule Kigoma mgombea wa CCM Dkt.Magufuli amemlaumu na kumshangaa Rais Magufuli kwa kushindwa kuweka ahueni ya gharama za umeme.
Vivo hivyo na suala la uwepo wa Mtanzania mnyonge. Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani kilio kikubwa ilikuwa ni uwepo wa Mtanzania mnyonge ambaye amempigania kwa hali na mali. Amekuja huyu mgombea Dkt. Magufuli katika kuomba kura anamlaumu Rais Dkt. Magufuli kwa kushindwa kumuondolea unyonge. Kwa hiyo anaahidi miaka mitano atajitahidi.
Haaaa haaa Just Haaaaa haaa