OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Katika kpindi hiki kigumu kuna maajabu mengi sana yanaendelea kutokea. Kwa kiasi kikubwa chanzo cha maajabu yote haya ni huyu Tundu Lissu. Mfano wa maajabu ni suala la bei ya umeme. Kule Kigoma mgombea wa CCM Dkt.Magufuli amemlaumu na kumshangaa Rais Magufuli kwa kushindwa kuweka ahueni ya gharama za umeme.
Vivo hivyo na suala la uwepo wa Mtanzania mnyonge. Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani kilio kikubwa ilikuwa ni uwepo wa Mtanzania mnyonge ambaye amempigania kwa hali na mali. Amekuja huyu mgombea Dkt. Magufuli katika kuomba kura anamlaumu Rais Dkt. Magufuli kwa kushindwa kumuondolea unyonge. Kwa hiyo anaahidi miaka mitano atajitahidi.
Haaaa haaa Just Haaaaa haaa