LGE2024 Mgombea mtaa wa Mangua ushindi wake una utata

LGE2024 Mgombea mtaa wa Mangua ushindi wake una utata

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mliogwa

Member
Joined
Jun 6, 2024
Posts
37
Reaction score
37
Wananchi wa mtaa wa Mangua mitoghoo kwa askofu Kata ya Mitunduruni Manispaa ya Singida tumeshangazwa na matokeo ya mgombea wetu. Hakuna hata anayemtaka. Na yeye anajua.

Kinachosikitisha kura za kuchagua mgombea zimekuwa nyingi kuliko idadi ya wapiga kura. Tunashangaa hizo kura zimetoka wapi?

Haya mambo mnayaona madogo lakini yatawagharimu sana. Wekeni haki kwenye uchaguzi muone kama atapita. HATUMCHAGUI. HATUWEZI KUWA NA MTU wa aina hii.
 
Kama kwenye chaguzi za msingi ameiba kura,hata chaguzi za serikali ya mitaa itakuwa hivyo tu.
Kikubwa mmalizane naye mapemaa
 
Back
Top Bottom