Wananchi wa mtaa wa Mangua mitoghoo kwa askofu Kata ya Mitunduruni Manispaa ya Singida tumeshangazwa na matokeo ya mgombea wetu. Hakuna hata anayemtaka. Na yeye anajua.
Kinachosikitisha kura za kuchagua mgombea zimekuwa nyingi kuliko idadi ya wapiga kura. Tunashangaa hizo kura zimetoka wapi?
Haya mambo mnayaona madogo lakini yatawagharimu sana. Wekeni haki kwenye uchaguzi muone kama atapita. HATUMCHAGUI. HATUWEZI KUWA NA MTU wa aina hii.