Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa CHADEMA, Salum Mwalimu aendelea na kampeni huko Same

Watakaoipigia kura CCM.

1. Wanaonufaika na uwepo wake madarakani.
2. Wajinga + wapumbavu.

Watakaopigia kura wapinzani Ni.
1. WanaCCM walioumizwa na serikali ya Magufuli mf: vyeti feki, kikokotoo.
2. Werevu wote.

Haya maneno yanaweza kuwa ya ukweli maeneo mengine, safari hii wanaoomba kura kwa CCM na wazee wa Kilimanjaro ambao vijana na wazee wangependa wawe kama wao.

Walioletwa na CCM ni wafanyabiasha walio fanikiwa na kuheshika sana huku, wakati ni kinyume kabisa na wanaoletwa na upinzani.

Sasa ukituambia Wafanya biashara wakubwa kama Mzee Shirima na wote ujumbe ni huo huo " kama umemwamini mtu katika biashara yako kwa miaka kumi mpaka kumi na tano unapata na unaendelea kupata hasara, jee uendelee kumuamini? " hili ndio swali tunalo ulizwa karibu Kilimanjaro yote, na wananchi wanaelekea Kibra.

Jee huku kwetu wafanya biashara tunao waheshimu na Maprofessors kwa kuwa ni Wapare au Wachaga ni wapumbavu na wajinga? Tusaidieni tupate uelewa wa pamoja na nyinyi watu wa mjini: Maprofessors na Matajiri wote tunao waheshimu huku Kilimanjaro kumbe ni Wapunbavu na ni wajinga !!!!!!!
 
Naona mmechanganyikiwa sasa naona mmeanza kutuiga mpaka kofia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…