Usimtukane maana sio kosa lake.we purumundu unaelewa neno Kamanda linamaana gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimtukane maana sio kosa lake.we purumundu unaelewa neno Kamanda linamaana gani
Halafu rekebisha avatar comments zako zinaizalilisha sana , weka ya chakubanga Polepole ndio itaendana michango yako ya ajabu.Hapo watu mia ila mmeibinya duu
Doh...Hata wazuie gari tutapiga kampeni mguu kwa mguu
Ccm mnatudharau waking wa getting alafu mnataka tuwape kura!?Makamo wa rahisi mbona kavaa kama mlinzi wa getini?
Itatimia oct/2020Hii ndoto
picha mnazipiga kiufundi mnoKazi ndio kwanza imeanza
Watakaoipigia kura CCM.
1. Wanaonufaika na uwepo wake madarakani.
2. Wajinga + wapumbavu.
Watakaopigia kura wapinzani Ni.
1. WanaCCM walioumizwa na serikali ya Magufuli mf: vyeti feki, kikokotoo.
2. Werevu wote.
Hehehe....mtakubali tu.picha mnazipiga kiufundi mno
Naona mmechanganyikiwa sasa naona mmeanza kutuiga mpaka kofia!SALUM MWALIMU: MNAAMBIWA MZAE WAKATI HUDUMA YA MAMA NA MTOTO NI MBOVU
Mgombea mwenza wa Urais kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu akiwa Wilayani Same amesema, Rais Magufuli anawaambia watanzania wazae wakati huduma ya mama na mtoto ni mbovu.
Amesema Serikali ya Dkt. Magufuli ambaye bi Mgombea wa Urais kupitia CCM, imekuwa ikifanya biashara kwa akina mama wajawazito ambapo wakitaka kujifungua wanaambiwa waende na vifaa hospitalini.
Akigusia uwakilishi wa Vijana, Salum amesema "Vijana huu ni wakati wa kufanya maamuzi ili tukatetee maslahi ya vijana. Miaka yote tumekosa wawakilishi wa vijana kwenye ngazi za juu za maamuzi. Nitakuwa Makamu wa Rais wa kwanza mwenye umri ndogo.
-
Ameongeza kuwa, Rais Magufuli anaamini kwenye maendeleo ya vitu, anazunguka na kusema amenunua ndege lakini haziwasaidii chochote wananchi.
===========
Mpaka sasa ccm haijui cha kufanya ili kuizuia Chadema kuchukua nchi , Style mpya ya TRIANGLE ATTACK inayotumika na Chadema imewachanganya hawana cha kufanya , hawajui wamzuie nani kati ya Mwalimu , Mbowe , Mimi au Lissu
Hii ni Same ambako Mgombea mwenza amepata wasaa wa kumnadi Mgombea ubunge wa jimbo hilo ambaye ni Nangenjwa Kaboyoka
Kazi ndio kwanza imeanza