Pre GE2025 Mgombea Mwenza wa Urais CCM, Dkt Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi wowote ndani na Nje ya CCM, ni Mzigo mzito kumnadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umeona mbali sana naona kama refa atatuita kati kabla ya Oktoba 2025 au kabla ya 2030
 
Sukuma gang bado hamuamini yule mliyemtupa mbali ili kumpoteza kisiasa doon anakuwa boss wenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sukuma wameshajimix wamecheza kete zao shida ni mkwere gang na alichoifanyia kambi ya lowasa hao shida ndo wanayo
 
Sasa Sheikh wanaCCM wao wamemchagua, wewe Chadema unasema mzigo.

Lakini si ndio vizuri ili ninyi wa kwenu mumnadi vizuri, au wewe ni CCM kutoka moyoni ila kwa nje ni Chadema?
 
Nimejaribu kumpamba hapa mtaani kidogo mama mwenye nyumba anirudishie kodi
 
Noted
 
Tulia, endelea kula mchemsho
 
Sasa Sheikh wanaCCM wao wamemchagua, wewe Chadema unasema mzigo.

Lakini si ndio vizuri ili ninyi wa kwenu mumnadi vizuri, au wewe ni CCM kutoka moyoni ila kwa nje ni Chadema?
Wamemchagua au wameletewa?
 
Mashabiki wake tumo humu 🤣🤣🤣

Muhimu kwetu wananchi wengine ni kuchapa kazi

Hongera nyingi kwake
 
Hakuna mtu asiyetambua umuhimu wa Kibu D ndio maana jana kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba nikamuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣
 
Yale Yale ya wanamtandao. Wakifanikiwa kushindwa mwaka huu. Kwa gharama yoyote Nchimbi anakuja kuwa rais kulinfa maslahi ya waliomuweka hapo. Mr. Smile hajamtaja Jina kwa bahati mbaya.
 
Sasa Hangaya naye ana ushawishi gani?
vipi hapo chadema nani ana ushawishi fasta aidhinishwe kabla mkutano haufungwa? Hiyo ni ajenda ya ghafla kama ya ccm walivyofanya kwenye mkutano wao
 
Nchimbi aliyezidiwa na Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…