Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Goli halina KIPA ni kujipigia tu hawa kipindi cha kwanza 7 bila!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona mbali sana naona kama refa atatuita kati kabla ya Oktoba 2025 au kabla ya 2030Unpopular opinion: Nchimbi anamzidi vitu vingi sana Samia katika siasa kuanzia ndani ya chama mpaka nje.
Ukiwekwa uchaguzi ndani ya chama kati ya Samia na Nchimbi, Nchimbi anashinda asubuhi tu.
Samia amechagua makamu wa Rais anayemzidi nguvu ya kisiasa sorry to say this.
Ni hatari kwa siasa za nchi ya giza.
Angalau Nchimbi over Samia..Samia hana uwezo na hana mvuto.
..Nchimbi hana uwezo na hana mvuto.
Sukuma wameshajimix wamecheza kete zao shida ni mkwere gang na alichoifanyia kambi ya lowasa hao shida ndo wanayoSukuma gang bado hamuamini yule mliyemtupa mbali ili kumpoteza kisiasa doon anakuwa boss wenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Weeee!!Nchimbi ndie Rais ajaye
NotedSamia katazama mbali kisiasa, mwaka 2030 analiachia nchi kundi la Mkwere Hivyo katika kipindi kuelekea muda huu hajali sana nguvu na ushawishi wa Nchimbi.
Kumbuka kuwa Nchimbi ataingia ikulu ikitokea Samia atashindwa kuendelea kuongoza nchi kwa sababu zilizo juu ya uwezo wa kibinadamu. Na sio kinyume cha hapo.
Tulia, endelea kula mchemshoUnpopular opinion: Nchimbi anamzidi vitu vingi sana Samia katika siasa kuanzia ndani ya chama mpaka nje.
Ukiwekwa uchaguzi ndani ya chama kati ya Samia na Nchimbi, Nchimbi anashinda asubuhi tu.
Samia amechagua makamu wa Rais anayemzidi nguvu ya kisiasa sorry to say this.
Ni hatari kwa siasa za nchi ya giza.
Wamemchagua au wameletewa?Sasa Sheikh wanaCCM wao wamemchagua, wewe Chadema unasema mzigo.
Lakini si ndio vizuri ili ninyi wa kwenu mumnadi vizuri, au wewe ni CCM kutoka moyoni ila kwa nje ni Chadema?
Aah kwani Mbowe unafikiri mtaletewa au atashinda?Wamemchagua au wameletewa?
Just wait n seeWeeee!!
Yale Yale ya wanamtandao. Wakifanikiwa kushindwa mwaka huu. Kwa gharama yoyote Nchimbi anakuja kuwa rais kulinfa maslahi ya waliomuweka hapo. Mr. Smile hajamtaja Jina kwa bahati mbaya.Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.
Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna aliyemsikitikia, Afadhali hata Sophia Simba wanaccm walimpigania, hii maana yake ni kwamba, Sophia Simba alimzidi mno kwa Umaarufu Nchimbi.
Mtu wa aina hii kumpeleka kwenye majukwaa ya kuomba kura ni sawa na kujibebesha Gunia la Misumali, Hata huu Mkutano wa Mkuu wa CCM ambao umeratibiwa naye kama Katibu Mkuu wa Chama, ndio mkutano mkuu wa ccm uliododa zaidi kuliko mikutano mikuu yote tangu kuanzishwa kwa chama hicho.
Soma Pia: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania, kazi ni kwenu Chadema, labda itumike tu mbeleko ya dola, lakini Je dola itakubali kutumika kubeba maji kwenye Tenda? Pipa litajaa?
vipi hapo chadema nani ana ushawishi fasta aidhinishwe kabla mkutano haufungwa? Hiyo ni ajenda ya ghafla kama ya ccm walivyofanya kwenye mkutano waoSasa Hangaya naye ana ushawishi gani?
kuwa rais tu ni ushawishi toshaSasa Hangaya naye ana ushawishi gani?
Nchimbi aliyezidiwa na MakondaBado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.