Hao wasio na mvuto na uwezo ni marais wa leo na yule ajae.
Hao wenye uwezo na mvuto wapo wapi? wanakubali vipi kuiacha nchi ikaongozwa na viongozi wasiostahili?.
Kununua magoli ya Simba na Yanga ndio kazi za Rais hizo?Nchimbi anajua mipaka pia Samia anaenda Ngwe ya mwisho.
Tofauti na kwamba hajawahi fikiria kumpa nafasi ya Urais Mzanzibar na ndicho kinawatesa hakuna Cha ushawishi Wala blaa blaa zingine.
Kama tunachagua na kuweka watu kwenye mizani,Kuna Rais gani anaweza mzidi Samia Kwa utekelezaji wa ilani?
Goli la upande upi sasa mkuu?Goli halina KIPA ni kujipigia tu hawa kipindi cha kwanza 7 bila!!!!
Ndio.Kununua magoli ya Simba na Yanga ndio kazi za Rais hizo?
Anamzidi wapi,majina ya wana CCM yaliyopo midomoni mwa Watanzani ni January Malamba,Nape,Mwigulu Nchemba kidogo na Makonda sasa huo umaarufu wa nchimbi umetokea angani.Unpopular opinion: Nchimbi anamzidi vitu vingi sana Samia katika siasa kuanzia ndani ya chama mpaka nje.
Ukiwekwa uchaguzi ndani ya chama kati ya Samia na Nchimbi, Nchimbi anashinda asubuhi tu.
Samia amechagua makamu wa Rais anayemzidi nguvu ya kisiasa sorry to say this.
Ni hatari kwa siasa za nchi ya giza.
Chawa wengi kwa sababu ya kupewa makombo hawaelewi uchumi duni unaokabili Wananchi.Ndio.
Wewe nyumbu uliyeshikiwa akili na kibaraka una kuelewa wa Uchumi kunizidi Mimi kweli?Chawa wengi kwa sababu ya kupewa makombo hawaelewi uchumi duni unaokabili Wananchi.
Miaka 8 Wafanyakazi hawajaongezwa hata 100 unasifia ujinga?
Poor you!
Tembea nchi nzima usiishie kukaa nyuma ya keyboard.Kununua magoli ya Simba na Yanga ndio kazi za Rais hizo?
Bado kuyaendeleza yale maghorofa yaliyo nyuma ya hayo ya Kawe. Namaanisha yale aliyoanza kuyajenga Kikwete lakini alipokuja hayati JPM akazuia ujenzi usiendelee.Wewe nyumbu uliyeshikiwa akili na kibaraka una kuelewa wa Uchumi kunizidi Mimi kweli?
View: https://www.instagram.com/p/DFMwsb6MnSO/?igsh=eno2am1tdDV3YnBw
Dkt Nchimbi ambacho alishatukera wana CCM ni kusherehekea kifo cha Dkt Magufuli na kuendeleza vijembe. Sijui huu udhaifu ataumalizaje, japo kwa nafasi yake kama Katibu mkuu alitakiwa kuomba msamaha na kuponya mioyo ya kundi la Dkt Magufuli. Ila ninvyoona hawezi kuomba msamaha na mwisho itakuwa mwisho wake mpaka atapopatika rais ambaye ni pro Dkt MagufuliBado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.
Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna aliyemsikitikia, Afadhali hata Sophia Simba wanaccm walimpigania, hii maana yake ni kwamba, Sophia Simba alimzidi mno kwa Umaarufu Nchimbi.
Mtu wa aina hii kumpeleka kwenye majukwaa ya kuomba kura ni sawa na kujibebesha Gunia la Misumali, Hata huu Mkutano wa Mkuu wa CCM ambao umeratibiwa naye kama Katibu Mkuu wa Chama, ndio mkutano mkuu wa ccm uliododa zaidi kuliko mikutano mikuu yote tangu kuanzishwa kwa chama hicho.
Soma Pia: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania, kazi ni kwenu Chadema, labda itumike tu mbeleko ya dola, lakini Je dola itakubali kutumika kubeba maji kwa kutumia Tenga? Je Pipa litajaa?
Labda ukali wa machoNchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote
Hao nyumbu hakuna wanachoelewa ππBado kuyaendeleza yale maghorofa yaliyo nyuma ya hayo ya Kawe. Namaanisha yale aliyoanza kuyajenga Kikwete lakini alipokuja hayati JPM akazuia ujenzi usiendelee.
Hizo hela zinafanya nini wapi na wapi?Tembea nchi nzima usiishie kukaa nyuma ya keyboard.
Zunguka nchini uone mengi anayoyafanya. Ukusanyaji wa kodi ni zaidi ya mara mbili kulinganisha na marais waliomtangulia.
Mbowe akipiga chafya huyo jamaa anaugua mafua, bonge la chawa wake.Hao nyumbu hakuna wanachoelewa ππ
Tanzania siyo KAWE, Mjinga weweWewe nyumbu uliyeshikiwa akili na kibaraka una kuelewa wa Uchumi kunizidi Mimi kweli?
View: https://www.instagram.com/p/DFMwsb6MnSO/?igsh=eno2am1tdDV3YnBw
Hakuna Tajiri Chawa, umekaririshwa porojo, Kapuku we!Mbowe akipiga chafya huyo jamaa anaugua mafua, bonge la chawa wake.
Wewe ni nyumbu tuu,hapa ni Kawe? ππTanzania siyo KAWE, Mjinga wewe
Hivi hayo yatawasaidia nini wakulima wa Mbaazi?Wewe ni nyumbu tuu,hapa ni Kawe? ππ
View: https://www.instagram.com/p/DE7lzujsjAV/?igsh=cXoxY3ZmcGF3eXlk
Wakulima wa mbaazi wakiuza watanunua.Hivi hayo yatawasaidia nini wakulima wa Mbaazi?