Pre GE2025 Mgombea Mwenza wa Urais CCM, Dkt Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi wowote ndani na Nje ya CCM, ni Mzigo mzito kumnadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kumbe HUIJUI CCM wewe??
 
Porojo za Miradi hazina nguvu yoyote, hela hizo siyo za Hangaya ujue
Viwanja vya ndege karibu nchi nzima kila mkoa unakaribia kuwa na uwanja wake.

Daraja la busisi na mengine mengi yanamalizika muda huu, mwendo kasi unaendelea kujengwa kutokea Mwenge kwenda Tegeta.

Samia anafanya mengi sana na hana hasira za ajabu, muungwana na msikivu.
 
Ni Wauza Mawese na Mama lishe wangapi wanatumia ndege? Hamjui hata vipaumbele! na hizo ndege zimeleta faida ipi ikiwa kila leo mnakopa?

Wadanganye Wajinga sana
 
.
 
Hata Mwinyi hakujulikana, hata Mkapa hakujulikana.

CCM ni chama dola, haiibi uchaguzi inaiba mfumo wa uchaguzi.

What's your point?
 
Ni Wauza Mawese na Mama lishe wangapi wanatumia ndege? Hamjui hata vipaumbele! na hizo ndege zimeleta faida ipi ikiwa kila leo mnakopa?

Wadanganye Wajinga sana
Mpuuzi wewe, kumbuka kuna wauza matikiti maelfu kwa maelfu kule Njombe wanaosafirisha mzigo kwa ndege. Kuna wakulima wengi wa Singida wamefunguliwa safari za kuuza bidhaa huko duniani.

Wajinga ni kama wewe msioweza kuunganisha kinachopatikana Tanzania na kinachohitajika kimataifa kikitokea Tanzania.
 
Ndege za Tanzania zinaenda Dunia ipi?
 
Sasa inawezekana asiwe fiti kiafya akawa vizuri kisiasa
 
Wewe wasema
 
Kwani wagombea wenza hawa waliwahi kuwa na ushawishi gani hasa huku Bara? Dr. Shein na Dr Bilal. Na bado CCM walishinda.

Ndiyo maana mwenyekiti wenu Lissu anakomalia reforms kwenye sheria za uchaguzi. Bila hivyo, na kwa sheria zilizopo CCM hata wakiamua kuweka bubu bado wakiamua kushinda uchaguzi watashinda tu.
 
KWANI MGOMBEA MWENZA HUWA ANANADIWA? WE MNADI MAMA YETU TU INATOSHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…