Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kapuku ni wewe mpambe mzoefu wa Mbowe.Hakuna Tajiri Chawa, umekaririshwa porojo, Kapuku we!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapuku ni wewe mpambe mzoefu wa Mbowe.Hakuna Tajiri Chawa, umekaririshwa porojo, Kapuku we!
Kwi Kwi KwiKapuku ni wewe mpambe mzoefu wa Mbowe.
Ndio maana nakwambia tembea uone miradi inavyokamilika muda huu.Hizo hela zinafanya nini wapi na wapi?
Porojo za Miradi hazina nguvu yoyote, hela hizo siyo za Hangaya ujueNdio maana nakwambia tembea uone miradi inavyokamilika muda huu.
kumbe HUIJUI CCM wewe??Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.
Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna aliyemsikitikia, Afadhali hata Sophia Simba wanaccm walimpigania, hii maana yake ni kwamba, Sophia Simba alimzidi mno kwa Umaarufu Nchimbi.
Mtu wa aina hii kumpeleka kwenye majukwaa ya kuomba kura ni sawa na kujibebesha Gunia la Misumali, Hata huu Mkutano wa Mkuu wa CCM ambao umeratibiwa naye kama Katibu Mkuu wa Chama, ndio mkutano mkuu wa ccm uliododa zaidi kuliko mikutano mikuu yote tangu kuanzishwa kwa chama hicho.
Soma Pia: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania, kazi ni kwenu Chadema, labda itumike tu mbeleko ya dola, lakini Je dola itakubali kutumika kubeba maji kwa kutumia Tenga? Je Pipa litajaa?
Viwanja vya ndege karibu nchi nzima kila mkoa unakaribia kuwa na uwanja wake.Porojo za Miradi hazina nguvu yoyote, hela hizo siyo za Hangaya ujue
Ni Wauza Mawese na Mama lishe wangapi wanatumia ndege? Hamjui hata vipaumbele! na hizo ndege zimeleta faida ipi ikiwa kila leo mnakopa?Viwanja vya ndege karibu nchi nzima kila mkoa unakaribia kuwa na uwanja wake.
Daraja la busisi na mengine mengi yanamalizika muda huu, mwendo kasi unaendelea kujengwa kutokea Mwenge kwenda Tegeta.
Samia anafanya mengi sana na hana hasira za ajabu, muungwana na msikivu.
.Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.
Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna aliyemsikitikia, Afadhali hata Sophia Simba wanaccm walimpigania, hii maana yake ni kwamba, Sophia Simba alimzidi mno kwa Umaarufu Nchimbi.
Mtu wa aina hii kumpeleka kwenye majukwaa ya kuomba kura ni sawa na kujibebesha Gunia la Misumali, Hata huu Mkutano wa Mkuu wa CCM ambao umeratibiwa naye kama Katibu Mkuu wa Chama, ndio mkutano mkuu wa ccm uliododa zaidi kuliko mikutano mikuu yote tangu kuanzishwa kwa chama hicho.
Soma Pia: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania, kazi ni kwenu Chadema, labda itumike tu mbeleko ya dola, lakini Je dola itakubali kutumika kubeba maji kwa kutumia Tenga? Je Pipa litajaa?
Hata Mwinyi hakujulikana, hata Mkapa hakujulikana.Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.
Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna aliyemsikitikia, Afadhali hata Sophia Simba wanaccm walimpigania, hii maana yake ni kwamba, Sophia Simba alimzidi mno kwa Umaarufu Nchimbi.
Mtu wa aina hii kumpeleka kwenye majukwaa ya kuomba kura ni sawa na kujibebesha Gunia la Misumali, Hata huu Mkutano wa Mkuu wa CCM ambao umeratibiwa naye kama Katibu Mkuu wa Chama, ndio mkutano mkuu wa ccm uliododa zaidi kuliko mikutano mikuu yote tangu kuanzishwa kwa chama hicho.
Soma Pia: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania, kazi ni kwenu Chadema, labda itumike tu mbeleko ya dola, lakini Je dola itakubali kutumika kubeba maji kwa kutumia Tenga? Je Pipa litajaa?
Mpuuzi wewe, kumbuka kuna wauza matikiti maelfu kwa maelfu kule Njombe wanaosafirisha mzigo kwa ndege. Kuna wakulima wengi wa Singida wamefunguliwa safari za kuuza bidhaa huko duniani.Ni Wauza Mawese na Mama lishe wangapi wanatumia ndege? Hamjui hata vipaumbele! na hizo ndege zimeleta faida ipi ikiwa kila leo mnakopa?
Wadanganye Wajinga sana
Ndege za Tanzania zinaenda Dunia ipi?Mpuuzi wewe, kumbuka kuna wauza matikiti maelfu kwa maelfu kule Njombe wanaosafirisha mzigo kwa ndege. Kuna wakulima wengi wa Singida wamefunguliwa safari za kuuza bidhaa huko duniani.
Wajinga ni kama wewe msioweza kuunganisha kinachopatikana Tanzania na kinachohitajika kimataifa kikitokea Tanzania.
Sasa inawezekana asiwe fiti kiafya akawa vizuri kisiasaAliye mchovu kuliko wote ndani ya CCM akienda CHADEMA ni sawa na Lionel Messi kwa ubora atakaoonekana kuwa nao.
Hayati Lowassa kiafya alikuwa hoi bin taaban na bado akapokelewa kama mfalme Pele alivyokuwa akipokelewa duniani enzi za uhai wake.
CCM ipo juu mno kulinganisha na hao wapigaji na waendekezaji wa ukabila hapo CHADEMA.
Dunia ambayo wewe huijui, mkuu tafuta taarifa kabla hujaandika haya maandiko yako.Ndege za Tanzania zinaenda Dunia ipi?
Ndege zinazoenda Katavi na Kagera ndio ndege za duniani hizo?Dunia ambayo wewe huijui, mkuu tafuta taarifa kabla hujaandika haya maandiko yako.
Exactly. Wapinzani washangilie.Basi kama hana ushawishi ni Faida kwa wapinzani
Wewe wasemaBado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.
Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna aliyemsikitikia, Afadhali hata Sophia Simba wanaccm walimpigania, hii maana yake ni kwamba, Sophia Simba alimzidi mno kwa Umaarufu Nchimbi.
Mtu wa aina hii kumpeleka kwenye majukwaa ya kuomba kura ni sawa na kujibebesha Gunia la Misumali, Hata huu Mkutano wa Mkuu wa CCM ambao umeratibiwa naye kama Katibu Mkuu wa Chama, ndio mkutano mkuu wa ccm uliododa zaidi kuliko mikutano mikuu yote tangu kuanzishwa kwa chama hicho.
Soma Pia: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania, kazi ni kwenu Chadema, labda itumike tu mbeleko ya dola, lakini Je dola itakubali kutumika kubeba maji kwa kutumia Tenga? Je Pipa litajaa?
Kwani wagombea wenza hawa waliwahi kuwa na ushawishi gani hasa huku Bara? Dr. Shein na Dr Bilal. Na bado CCM walishinda.Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.
Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna aliyemsikitikia, Afadhali hata Sophia Simba wanaccm walimpigania, hii maana yake ni kwamba, Sophia Simba alimzidi mno kwa Umaarufu Nchimbi.
Mtu wa aina hii kumpeleka kwenye majukwaa ya kuomba kura ni sawa na kujibebesha Gunia la Misumali, Hata huu Mkutano wa Mkuu wa CCM ambao umeratibiwa naye kama Katibu Mkuu wa Chama, ndio mkutano mkuu wa ccm uliododa zaidi kuliko mikutano mikuu yote tangu kuanzishwa kwa chama hicho.
Soma Pia: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania, kazi ni kwenu Chadema, labda itumike tu mbeleko ya dola, lakini Je dola itakubali kutumika kubeba maji kwa kutumia Tenga? Je Pipa litajaa?
KWANI MGOMBEA MWENZA HUWA ANANADIWA? WE MNADI MAMA YETU TU INATOSHABado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM.
Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye Majukwaa ya hadharani, Hata alipofukuzwa na Magufuli ndani ya ccm kwa kuwa Team Lowassa hakuna aliyemsikitikia, Afadhali hata Sophia Simba wanaccm walimpigania, hii maana yake ni kwamba, Sophia Simba alimzidi mno kwa Umaarufu Nchimbi.
Mtu wa aina hii kumpeleka kwenye majukwaa ya kuomba kura ni sawa na kujibebesha Gunia la Misumali, Hata huu Mkutano wa Mkuu wa CCM ambao umeratibiwa naye kama Katibu Mkuu wa Chama, ndio mkutano mkuu wa ccm uliododa zaidi kuliko mikutano mikuu yote tangu kuanzishwa kwa chama hicho.
Soma Pia: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Naitabiria CHADEMA kampeni nyepesi zaidi kuliko Uchaguzi wowote tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Nchini Tanzania, kazi ni kwenu Chadema, labda itumike tu mbeleko ya dola, lakini Je dola itakubali kutumika kubeba maji kwa kutumia Tenga? Je Pipa litajaa?
Ndege za ATCL zinachukua bidhaa Kenya na kuzipeleka Dubai.Ndege zinazoenda Katavi na Kagera ndio ndege za duniani hizo?