GE2025 Mgombea ubunge Jimbo la Mtambile Pemba: Oktoba 29 tumemaliza, hakuna Maandamano

GE2025 Mgombea ubunge Jimbo la Mtambile Pemba: Oktoba 29 tumemaliza, hakuna Maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtambile Pemba kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa katika Jimbo la Mtambile ni sherehe za ushindi za CCM zinaendelea na hakuna dalili za maandamano yoyote

Muhammad ameyasema hayo katika mfululizo wa kampeni za CCM katika Jimbo la Mtambile Pemba huku pia akitumia jukwaa hilo kumuombea kura Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein Mwinyi, Rais wa Zanzibar na mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar kupitia CCM


 
Back
Top Bottom