Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Serengeti, Catherine Ruge(CHADEMA) alazwa baada ya kupigwa

Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Serengeti, Catherine Ruge(CHADEMA) alazwa baada ya kupigwa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
1602611475639.png

Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana.

Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti

Pia soma > John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo
 
View attachment 1599086

Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana.

Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti.
Hivi hawa polisi wanapata wapi nguvu ya kumpiga mwanamke na kumchania nguo, ni udhaifu wa hali ya juu. Halafu utakuta ni polisi wa kiume wanadeal na wanawake

Ina maana mbinu zooote walizofundishwa huko vyuoni zimebuma mpaka wanafikia hatua ya kupiga na kuchana nguo za wake za watu.
 
Poleni wanaccm mmejaa chuki sana.kwa hakika Mungu anawahesabia hatia kwa kuunga mkono uovu.hamtofautiani na mwenyekitiwenu mnyang'anya korosho
 
Back
Top Bottom