Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Serengeti, Catherine Ruge(CHADEMA) alazwa baada ya kupigwa

Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Serengeti, Catherine Ruge(CHADEMA) alazwa baada ya kupigwa

Hawafai kurudi madarakani hawa sio waadilifu wanafanya vitu visivyo na manufaa na takwimu zao za uwongo mtupu..Ili kuwapata wasiojitambua..
Ni Mtanzania asiye na Akili timamu pekee ataipigia CCM kura
 
Sasa hao askari kwa tamaa gani kwa Hutu dem maana ana vimguu kama njiwa au kanga.
Mbona miguu yako kama nyuzi ya manila hujioni? Ushetani umekajaa mpaka umesahau kuwa na wewe una tuviguu kama twa mbu mleta maralia
 
Jiwe anazidi kuharibu nchi.

Mwambieni awachezee akina Akwilina asiicheze na PENTAGON.

Ushahidi unazidi kukusanywa.

DUNIA HAIMTAKI JIWE.
Ushahidi upo wa kutosha IGP Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo hovyo watafikishwa ICC The Hague mda si mrefu
 
Poleni wanaccm mmejaa chuki sana.kwa hakika Mungu anawahesabia hatia kwa kuunga mkono uovu.hamtofautiani na mwenyekitiwenu mnyang'anya korosho
Polepole na cyprian Musiba ndiyo waratibu wa mipango ya kuwapiga mabomu kuwahujumu chadema
 
ICC tayari wameandaa majarada ya kutosha baada ya uchaguzi kuna utitiri wa Polisiccm pamoja na wakurugenziccm na NECCCM watafikishwa ICC The Hague
 
Nakumbuka kuna wakati Halima wa Kawe naye alidai kupiga na kuvunjwa mkono kumbe fake news za kuvunjwa mkono, hapa na Huyu ya Kulazwa ni move ya kuonewa huruma na kutaka kuleta ya picha ya kuonewa kumbe lenyewe ndio likorofi
Hivi hata wewe kweli unaona ni sawa msimamizi wa uchaguzi kutorekebisha ratiba kwa zaidi ya wiki. Kweli hata huyu IGP anashindwa kuona njama na ubabe wa Tume dhidi ya huyu mgombea? Ukiwa binadamu na akili ya awali tu ya kutenda haki kweli unaweza kumlaumu huyu mgombea? Wiki nzima hakuna ratiba ambayo haichukui saa nzima kuirekebisha? Kweli? Kwa matendo haya tunalazimishwa kuona kuwaTume ina makusudi ya kuwachokoza wagombea fulani au kuvuruga amani au vyote.
 
Chadrama acheni fitina, acheni uzushi, mikogo na uzushi.
Nyinyi mlisema mtamlinda Cathy aka Msubhati imekuwaje tena? Mgombea anapigwa kisha mnakuja JF kulialia?
Chadema fanyeni wajibu wenu.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
 
ICC tayari wameandaa majarada ya kutosha baada ya uchaguzi kuna utitiri wa Polisiccm pamoja na wakurugenziccm na NECCCM watafikishwa ICC The Hague
Majarada ni vifaa gani mura waito? Kama huwezi kujua yanaitwa majalada hata hiyo ICC naamini huijui nyamaza tu.
Chadema kwa nini isianzishe darasa la tuition kwa vijana wake wapunguze aibu hii?

Back
Top Bottom