Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Serengeti, Catherine Ruge(CHADEMA) alazwa baada ya kupigwa

Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Serengeti, Catherine Ruge(CHADEMA) alazwa baada ya kupigwa

Acheni uzushi, Lissu kaandaa makundi ya vijana wa kupiga watu ili wasingizie CCM
Umejifunza kuandika kama binagdamu lini? Hongera juzi ulikuwa na miguu minne na mkia mreeefu. Namtafuta mkufunzi wako! Wewe rudi kwenye zoo
 
Hivi hawa polisi wanapata wapi nguvu ya kumpiga mwanamke na kumchania nguo, ni udhaifu wa hali ya juu. Halafu utakuta ni polisi wa kiume wanadeal na wanawake

Ina maana mbinu zooote walizofundishwa huko vyuoni zimebuma mpaka wanafikia hatua ya kupiga na kuchana nguo za wake za watu.
Tanzania sizani kama kuna polisi kasoma ,hawa huwa wanachukuliwa form four waliofeli wanapigishwa mgambo miezi 6 ,wanapewa magwanda ndio maana hamna wajuacho zaidi ya maelekezo
 
Sasa hao askari kwa tamaa gani kwa Hutu dem maana ana vimguu kama njiwa au kanga.
Moto wa Mlima Kilimanjaro unavyozimwa KIMASIKINI huwezi kuamini ndio TANAPA hii inayotoa 'GAWIO' kubwa serikalini huku ikishangiliwa na Mataga,


Uvccm wanachokiweza kwa sasa ni kupiga mawe misafara ya Tundu Lissu na kutetea ujinga wa mabosi wao mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salary Slip ,

..naomba utusaidie kupandisha video hii ukurasa wa kwanza.

..inahusu maelezo ya Mh.Catherine Ruge mbele ya IGP Sirro.

 
Hawa wapinzani watafanyiwa kila aina ya visa ili wajibu tu..waonekane hao wanafujo
Hata mlima kilimanjaro ule moto wanasema CHADEMA ndio wamechoma[emoji38]
Wapinzani kuweni na subra 28 Oct kitaeleweka tu[emoji123]
 
Poleni sana wahanga, siamini walinda usalama wamefanya haya huenda genge la wahuni wanatumia mwanya kuibeba ccm.
 

Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana.

Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti

Pia soma > John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo
Nakumbuka kuna wakati Halima wa Kawe naye alidai kupiga na kuvunjwa mkono kumbe fake news za kuvunjwa mkono, hapa na Huyu ya Kulazwa ni move ya kuonewa huruma na kutaka kuleta ya picha ya kuonewa kumbe lenyewe ndio likorofi
 
Back
Top Bottom