Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Serengeti, Catherine Ruge(CHADEMA) alazwa baada ya kupigwa

View attachment 1599086

Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana.

Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti.
Hivi hawa polisi wanapata wapi nguvu ya kumpiga mwanamke na kumchania nguo, ni udhaifu wa hali ya juu. Halafu utakuta ni polisi wa kiume wanadeal na wanawake

Ina maana mbinu zooote walizofundishwa huko vyuoni zimebuma mpaka wanafikia hatua ya kupiga na kuchana nguo za wake za watu.
 
View attachment 1599086

Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana.

Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti.
Kalazwa kwenye miundombinu ya serikali 'mnayoipinga', shuka lina chata la MSD - shirika ambalo mnaweza mkaliuza kama alivyoahidi mgombea mwenza Salumu Mwalimu
 
Poleni wanaccm mmejaa chuki sana.kwa hakika Mungu anawahesabia hatia kwa kuunga mkono uovu.hamtofautiani na mwenyekitiwenu mnyang'anya korosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…