Ni Mtanzania asiye na Akili timamu pekee ataipigia CCM kuraHawafai kurudi madarakani hawa sio waadilifu wanafanya vitu visivyo na manufaa na takwimu zao za uwongo mtupu..Ili kuwapata wasiojitambua..
Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo hivyo vya hovyo watafikishwa ICC The Hague mara baada ya uchaguzi mkuu
Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana.
Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti
Pia soma > John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo
Mbona miguu yako kama nyuzi ya manila hujioni? Ushetani umekajaa mpaka umesahau kuwa na wewe una tuviguu kama twa mbu mleta maraliaSasa hao askari kwa tamaa gani kwa Hutu dem maana ana vimguu kama njiwa au kanga.
Ushahidi upo wa kutosha IGP Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo hovyo watafikishwa ICC The Hague mda si mrefuJiwe anazidi kuharibu nchi.
Mwambieni awachezee akina Akwilina asiicheze na PENTAGON.
Ushahidi unazidi kukusanywa.
DUNIA HAIMTAKI JIWE.
Polepole na cyprian Musiba ndiyo waratibu wa mipango ya kuwapiga mabomu kuwahujumu chademaPoleni wanaccm mmejaa chuki sana.kwa hakika Mungu anawahesabia hatia kwa kuunga mkono uovu.hamtofautiani na mwenyekitiwenu mnyang'anya korosho
Hivi hata wewe kweli unaona ni sawa msimamizi wa uchaguzi kutorekebisha ratiba kwa zaidi ya wiki. Kweli hata huyu IGP anashindwa kuona njama na ubabe wa Tume dhidi ya huyu mgombea? Ukiwa binadamu na akili ya awali tu ya kutenda haki kweli unaweza kumlaumu huyu mgombea? Wiki nzima hakuna ratiba ambayo haichukui saa nzima kuirekebisha? Kweli? Kwa matendo haya tunalazimishwa kuona kuwaTume ina makusudi ya kuwachokoza wagombea fulani au kuvuruga amani au vyote.Nakumbuka kuna wakati Halima wa Kawe naye alidai kupiga na kuvunjwa mkono kumbe fake news za kuvunjwa mkono, hapa na Huyu ya Kulazwa ni move ya kuonewa huruma na kutaka kuleta ya picha ya kuonewa kumbe lenyewe ndio likorofi
Kakojoe ulale.Acheni uzushi, Lissu kaandaa makundi ya vijana wa kupiga watu ili wasingizie CCM
Majarada ni vifaa gani mura waito? Kama huwezi kujua yanaitwa majalada hata hiyo ICC naamini huijui nyamaza tu.ICC tayari wameandaa majarada ya kutosha baada ya uchaguzi kuna utitiri wa Polisiccm pamoja na wakurugenziccm na NECCCM watafikishwa ICC The Hague
Mura, wapi ile panga ulificha?!? Weka kiunoni.Chadrama acheni fitina, acheni uzushi, mikogo na uzushi.
Nyinyi mlisema mtamlinda Cathy aka Msubhati imekuwaje tena? Mgombea anapigwa kisha mnakuja JF kulialia?
Chadema fanyeni wajibu wenu.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Hivi hata wewe kweli unaona ni sawa msimamizi wa uchaguzi kutorekebisha ratiba kwa zaidi ya wiki. Kweli hata huyu IGP anashindwa kuona njama na ubabe wa Tume dhidi ya huyu mgombea? Ukiwa binadamu na akili ya awali tu ya kutenda haki kweli unaweza kumlaumu huyu mgombea? Wiki nzima hakuna ratiba ambayo haichukui saa nzima kuirekebisha? Kweli? Kwa matendo haya tunalazimishwa kuona kuwaTume ina makusudi ya kuwachokoza wagombea fulani au kuvuruga amani au vyote.
Kwan kabla ya jiwe hakukuwa na msd au ata hujui maana ya msd unazan ni jina LA jiweNaona nembo ya msd!!! Kumbe jpm baba lao