Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, Boniface Jacob kuzindua kampeni Viwanja vya Las Vegas, Mahakama ya Ndizi

Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, Boniface Jacob kuzindua kampeni Viwanja vya Las Vegas, Mahakama ya Ndizi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio habari iliyozagaa mitaa yote ya jimbo la Ubungo, kwamba yule mwamba wa siasa za Ubungo ambaye pia ni Meya mstaafu, yule aliyewekewa pingamizi la kizushi, leo anaanza rasmi amsha amsha.

_UZINDUZI WA KAMPENI YA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO_   Mheshimiwa Boniface Ja ( 799 X 640 ).jpg
 
Miundombinu ya Marekani inayofanana Nchi nzima.
Hakuna ulazima wa bomoa bomoa waliyoifanya CCM Mpya katika maeneo ya Ubungo, Kimara jijini Dar es Salaam hata Marekani hakuna barabara ya upana mita 120 kila upande

16 September 2020
Dar es Salaam, Tanzania
BONIFACE: AOMBA KURA / UBUNGO NI NYUMBANI

Nilianzia Uongozi wa mtaa hapa hapa, kisha udiwani na baadaye umeya hapahapa sasa nawaombeni ubunge wa hapa nikawawakilishe bungeni.
 
Mtoto halisi wa Ubungo Manzese yote wahuni wote wanamjua huyu mwamba.

Ova
Mkuu , kwahiyo unaona sawa Ubungo wakiwakilishwa na mhuni badala ya mtu makini kama kitila.

Halafu huyo jamaa anapenda misosi Sana mpaka kampeni zake anaenda kuzizindua kwenye maeneo ya misosi.
 
16 September 2020
Dar es Salaam, Tanzania
BONIFACE: AOMBA KURA / UBUNGO NI NYUMBANI

Nilianzia Uongozi wa mtaa hapa hapa, kisha udiwani na baadaye umeya hapahapa sasa nawaombeni ubunge wa hapa nikawawakilishe bungeni.

Hatari fire
 
Boniface Jacob mtu wa watu, mtu wa kitaa anafahamu kero zote za Ubungo. Anatufaa akatuwakilishe mjengoni Dodoma. Pia wabunge wa CHADEMA ni wabunge wa taifa.
 
Tunahitaji wawakilishi kama hawa Bungeni.
Huyu ni mtu wa misimamo,Mtu sahihi kwa wakati sahihi.

Wana Ubungo mpeni kura zenu zote za Ndiyo.
 
Back
Top Bottom