Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,005
Tena saaaana. Sasa sijui kwanini vijana hawana adabu siku hizi?Kumtukana mkuu wa nchi ni jambo baya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena saaaana. Sasa sijui kwanini vijana hawana adabu siku hizi?Kumtukana mkuu wa nchi ni jambo baya sana
Malezi mabovu ngazi ya familia ndio huchangia yote haya.Tena saaaana. Sasa sijui kwanini vijana hawana adabu siku hizi?
Pamoja na matumizi ya bangi na Konyagi.Malezi mabovu ngazi ya familia ndio huchangia yote haya.
Magufuli amepambana sana na suala la mihadarati pamoja na konyagi.Pamoja na matumizi ya bangi na Konyagi.
Tena bangi ndio mbaya sana kuzidi konyagiPamoja na matumizi ya bangi na Konyagi.
Rais Magufuli tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake katika mambo ya ufanisi na utendaji kazi bora.Kumtukana mkuu wa nchi ni jambo baya sana
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Magufuli na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.Malezi mabovu ngazi ya familia ndio huchangia yote haya.
Trump ameanza kumuiga Magufuli katika ku-deal na changamoto ya COVID-19. JPM ni jembe hakika.Malezi mabovu ngazi ya familia ndio huchangia yote haya.
Zitto aliutaka uenyekit wa chadema akafukuzwa Chama.Ninamshauri ndugu yangu mwana FA, sasa hizo habari za Tundu Lissu sijui zinafuata nini hapa?
Magufuli anafanya yaliyowashinda viongozi wengi wa Africa.Kumtukana mkuu wa nchi ni jambo baya sana
Hata mwanajeshi pia sio Polisi. Ndio maana wakaitwa ni askari wa jiji. Hawa pia ni sehemu ya watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaotambulika kisheria na wanahitaji kuheshimiwa...Askari wa jiji sio Polisi na vyombo vya usalama kama ulivyo orodhesha
Askari wa jiji (hao mnaowaita mgambo) walikuwa wakijafanya hayo kwa mama lishe, wamachinga na wapiga debe katika kutekeleza kile kinachoitwa utii wa sheria bila shurti, jambo ambalo linamanufaa kwa umma katika kuwakinga dhidi ya magonjwa ya mlipuko pamoja na kuweka mazingira bora ya "jamii inayoongozeka katika mstari sahihi"...Askari wa jiji ni wale wagambo waliokua wakikamata majungu ya Ubwabwa ya Mama ntilie, kukimbizana na wamachinga na wapiga debe kila kukicha,
ilikua ni mifumo kandamizi tu ya maisha, mbona utawala huu hawafanyi waliyokua wakiyafanya, na hatulipuki na hayo maradhi na mama ntilie wanaendesha shughuli zao bila bugdha.Askari wa jiji (hao mnaowaita mgambo) walikuwa wakijafanya hayo kwa mama lishe, wamachinga na wapiga debe katika kutekeleza kile kinachoitwa utii wa sheria bila shurti, jambo ambalo linamanufaa kwa umma katika kuwakinga dhidi ya magonjwa ya mlipuko pamoja na kuweka mazingira bora ya "jamii inayoongozeka katika mstari sahihi"...
Mgambo wanaheshima kubwa Sana kwa nchi lakini lazima tukubali heshima yao waliishusha wenyeweHata mwanajeshi pia sio Polisi. Ndio maana wakaitwa ni askari wa jiji. Hawa pia ni sehemu ya watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaotambulika kisheria na wanahitaji kuheshimiwa...
Waliishusha wenyewe kivipi?...Mgambo wanaheshima kubwa Sana kwa nchi lakini lazima tukubali heshima yao waliishusha wenyewe
Haya ni mawazo yako potofu mkuu...ilikua ni mifumo kandamizi tu ya maisha,
kipi nilichopotosha mkuuHaya ni mawazo yako potofu mkuu...
wakati makamba au abas kandoro wakiwa wakuu wa mkoa wa daressalaam ulikua na umri gani au ulikua mkoa gani, maana tuanzie hapo tusipoteze muda na nguvu.Waliishusha wenyewe kivipi?...
Kwanini unakwepa kujibu swali langu boss? Waliishusha wenyewe kivipi hao askari wa jiji?wakati makamba au abas kandoro wakiwa wakuu wa mkoa wa daressalaam ulikua na umri gani au ulikua mkoa gani, maana tuanzie hapo tusipoteze muda na nguvu.