Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu naona wabunge wengi huwa na CV za kuunga unga sana kumbe wengi huwa wanaeenda kusoma wakiingia bungeni, mwisho wanapita tu kimchongomchongo mara unasikia ana PhD.
==
Katika mahojiano na Charles William kwenye kipindi cha One on One, mgombea Ubunge wa CCM jimbo la Kigoma Mjini Baba Levo amesema ataanza masomo ya elimu ya sekondari mwakani na mpaka kufikia 2030 atakua amefikia ngazi ya stashahada (diploma).
Amesema lengo la kusoma ni ili kuwa na vigezo vya kielimu iwapo sheria za nchi zitabadilika miaka ijayo na kuweka kigezo cha elimu kwa mgombea ubunge basi asipoteze sifa.
Source Wasafi