Mtihani mkubwa wa mbunge hautakiwi kuwa wa shule.Wakuu naona wabunge wengi huwa na CV za kuunga unga sana kumbe wengi huwa wanaeenda kusoma wakiingia bungeni, mwisho wanapita tu kimchongomchongo mara unasikia ana PhD.
==
Katika mahojiano na Charles William kwenye kipindi cha One on One, mgombea Ubunge wa CCM jimbo la Kigoma Mjini Baba Levo amesema ataanza masomo ya elimu ya sekondari mwakani na mpaka kufikia 2030 atakua amefikia ngazi ya stashahada (diploma).
Amesema lengo la kusoma ni ili kuwa na vigezo vya kielimu iwapo sheria za nchi zitabadilika miaka ijayo na kuweka kigezo cha elimu kwa mgombea ubunge basi asipoteze sifa.
View attachment 3469024
Source Wasafi
Hii ni hatarBora ingekuja ya hapa na pale , ni Ile ya pangu pakavu ,tia mchuzi..aligusa darada la 1- 4, then akaanza kugema mawese huko kazuramimba kigoma, baadae akawa winga wa migebuka pale kibirizi, kabla ya kuwa mvuvi Kisha kuunda kundi la mziki la kgt, baadae akaaibukia wanaume family kabla mziki kumshinda na kuamua kuwa chawa mkuu!..Na sasa ni mbunge wa wana kigoma!!..maisha hayana fomula
DUUHBora ingekuja ya hapa na pale , ni Ile ya pangu pakavu ,tia mchuzi..aligusa darasa la 1- 4, then akaanza kugema mawese huko kazuramimba kigoma, baadae akawa winga wa migebuka pale kibirizi, kabla ya kuwa mvuvi Kisha kuunda kundi la mziki la kgt, baadae akajiunga kwenye siasa akawa diwani chadema, kabla ya kumtwanga makofi traffic nakuishia jela mwaka, alipotoka sero akaibukia wanaume family kabla mziki kumshinda na kuamua kuwa chawa mkuu!..Na sasa ni mbunge wa wana kigoma!!..maisha hayana fomula
Duuh, halafu kumbe ni Mke wa Mtu? Mke wa Mtu sumuBora ingekuja ya hapa na pale , ni Ile ya pangu pakavu ,tia mchuzi..aligusa darasa la 1- 4, then akaanza kugema mawese huko kazuramimba kigoma, baadae akawa winga wa migebuka pale kibirizi, kabla ya kuwa mvuvi Kisha kuunda kundi la mziki la kgt, baadae akajiunga kwenye siasa akawa diwani chadema, kabla ya kumtwanga makofi traffic nakuishia jela mwaka, alipotoka sero akaibukia wanaume family kabla mziki kumshinda na kuamua kuwa chawa mkuu!..Na sasa ni mbunge wa wana kigoma!!..maisha hayana fomula
Bora hata Baba Levo awe Rais kuliko Samia.Bora ingekuja ya hapa na pale , ni Ile ya pangu pakavu ,tia mchuzi..aligusa darasa la 1- 4, then akaanza kugema mawese huko kazuramimba kigoma, baadae akawa winga wa migebuka pale kibirizi, kabla ya kuwa mvuvi Kisha kuunda kundi la mziki la kgt, baadae akajiunga kwenye siasa akawa diwani chadema, kabla ya kumtwanga makofi traffic nakuishia jela mwaka, alipotoka sero akaibukia wanaume family kabla mziki kumshinda na kuamua kuwa chawa mkuu!..Na sasa ni mbunge wa wana kigoma!!..maisha hayana fomula
Babalevo ana degree ya Uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Havard Marekani. degree ya kwanza na ya pili aliipata chuo kikuu cha Kigoma cha mambo ya kuruka angani kwa ungoHabari wakuu
Ningependa kujua elimu ya hii mtu chakula ya boss ( pdidy wife)
Nawasilisha
Hivi Samia na CCM wanajua kazi ya Bunge kweli, hivi Babalevo anaweza kweli kuandika ama kutunga mswada wa Bunge?DUUH
Uogopi kutekwa?"sikusoma saaaan, nimefika kidato cha nne na sikufanya vizuri"
Only in Tanzania
Hata maana mswada hajuiHabari wakuu
Ningependa kujua elimu ya hii mtu chakula ya boss ( pdidy wife)
Nawasilisha
Picha linaanza hata kwenye kula kiapo hajui kama unatakiwa kutumia jina lako halisi. Mtu kama huyu kupewa dhamana ya kupitisha sheria ni hatari. Atapitisha kitu ambacho hakijui wala hakielewi.Hivi Samia na CCM wanajua kazi ya Bunge kweli, hivi Babalevo anaweza kweli kuandika ama kutunga mswada wa Bunge?
Kusema elimu yangu ni shida? 🙄Uogopi kutekwa?
Penye takataka hapakosi almasi.Anaenda kutunga na kupitisha Sheria za Nchi!