GE2025 Mgombea ubunge kigoma Mjini (CCM), Baba Levo asema aliishia darasa la saba ila ataanza QT mwakani (2026)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mtihani mkubwa wa mbunge hautakiwi kuwa wa shule.

Mtihani mkubwa wa mbunge, kwenye nchi ya kidemokrasia, ni juwashawishi wananchi wampigie kura.
 
Bora ingekuja ya hapa na pale , ni Ile ya pangu pakavu ,tia mchuzi..aligusa darasa la 1- 4, then akaanza kugema mawese huko kazuramimba kigoma, baadae akawa winga wa migebuka pale kibirizi, kabla ya kuwa mvuvi Kisha kuunda kundi la mziki la kgt, baadae akajiunga kwenye siasa akawa diwani chadema, kabla ya kumtwanga makofi traffic nakuishia jela mwaka, alipotoka sero akaibukia wanaume family kabla mziki kumshinda na kuamua kuwa chawa mkuu!..Na sasa ni mbunge wa wana kigoma!!..maisha hayana fomula
 
Hii ni hatar
 
DUUH
 
Duuh, halafu kumbe ni Mke wa Mtu? Mke wa Mtu sumu
 
Bora hata Baba Levo awe Rais kuliko Samia.
 
Hivi Samia na CCM wanajua kazi ya Bunge kweli, hivi Babalevo anaweza kweli kuandika ama kutunga mswada wa Bunge?
Picha linaanza hata kwenye kula kiapo hajui kama unatakiwa kutumia jina lako halisi. Mtu kama huyu kupewa dhamana ya kupitisha sheria ni hatari. Atapitisha kitu ambacho hakijui wala hakielewi.

Hii qualification ya mbunge kujua kusoma na kuandika tu lazima iondolewe, kwa dunia ya sasa ni kichekesho. Mbunge anatakiwa kuwa na degree ya angalao upper second class
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…