Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Shinyanga Mjini (CHADEMA) ashikiliwa na Polisi kwa kufanya fujo

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia Mgombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA) Salome Makamba kwa tuhuma za kufanya fujo, kuchana karatasi za matokeo ya kura na kumjeruhi Msimamizi wa Uchaguzi katika kituo cha kuhesabia kura cha shule ya msingi Bugweto "B".
 
Sijui tunaelekea wapi. Yaaani tumepora uchaguzi na tutakuwa na 100% wabunge wa CCM. Then kuna watu humu wanashangilia..

We are going to face serious ecomonic sanctions. Hii miaka 5 inaenda kuwa migumu migumu kimaisha like ever before... Tunaenda kupigika balaa. Yaani CCM tungeiba hata kidogo na kuacha fairness kwa baadhi ya majimbo
 
Naikumbuka clip yake ya kutangaza ubabe.
Sasa atakwenda kujifunza kutii mamlaka bila shuruti.
 

Kweli mimi sijui kwa nini wenzako wa CCM hawaoni shida kwa haya, mngeacha hata key member of parliaments warudi, hebu fikiri, Mbowe jamani? of all people, Mheshimiwa Mbowe?
 
Kweli mimi sijui kwa nini wenzako wa ccm hawaoni shida kwa haya, mngeacha hata key mbember of parliaments warudi, hemu fikiri, Mbowe jamani? of all people, Mheshimiwa Mbowe?
Ni kutafuta sifa kwa Mkuu. Na wakurugenzi, Wakuu wa wilaya kuogopa kupoteza kazi zao.Njaa mbaya sana sana!!
 
Kichekesho ni pale ambapo hata wana kijani walipokuwa hawamtaki mgombea pandikizi na ameshinda wote wanalia kama wanavyolia wapinzani!.

👉 Kwingine habari zinasema kura zimezidi idadi ya wapigaji na wasimamizi wa eneo hilo wanatizama na kusaini!.

👉 Kwingine mtu anakimbia na sanduku la kupigia kura na askari hawamfanyi kitu wanamtazama!.
 
Huu uchaguzi noma sana yaani ulijaa mbinu nyingi za kushinda, ya nini kuitisha uchaguzi wakati kuna chama cha kutawala maiasha?
 
Acha ujinga wako na wewe!

Yani uwape wapinzani kisa uwaridhishe kina Amsterdam?
 
Ni kutafuta sifa kwa Mkuu. Na wakurugenzi, Wakuu wa wilaya kuogopa kupoteza kazi zao.... Njaa mbaya sana sana!!...

Sio njaa, ni ubinafsi Kaka! kuna watu wenye njaa nje, they do not know what they eat this afternoon, sio wao!
 
Kweli mimi sijui kwa nini wenzako wa ccm hawaoni shida kwa haya, mngeacha hata key mbember of parliaments warudi, hemu fikiri, Mbowe jamani? of all people, Mheshimiwa Mbowe?
Kabla ya kampeni kuisha nilishauri tume na Magu wafikirie kuwatangaza hawa wabunge wakubwa wa upinzani hata kama hawatashinda, ila mibavicha ikanitukana
 
Kabla ya kampeni kuisha nlishauri tume na Magu wafikirie kuwatangaza hawa wabunge wakubwa wa upinzani hata kama hawatashinda, ila mibavicha ikanitukana

Wasiposhinda kihalali sio issue, ila ukweli ni kwamba wamewahujumu
 
Akili za kushikiliwa hii!! Hakuna kitu kama hicho
 
Mlimushangilia lissu kwa maneno yake machafu wakati alipokuwa akipanda jukwaani na kuamini Chama kinapendwa Kama alivyokuwa anawaaminisha, hamkutambua Watanzania wa leo wengi wanajielewa na wana uwezo wa kunyambua Mambo.

Itoshe tu kusema Lissu ndo chanzo kikubwa Cha Wabunge wengi wa upinzani kupoteza nafasi zao.
 
Mgombea Urais wa CDM alikuwa anajikita kwenye matusi zaidi kuliko kuwanadi Wagombea Ubunge na udiwani wakati alipokuwa jukwaani.

Matokeo yake ndo yanaanza kuonekana Sasa.
 
Mkuu inasikitisha sana kuwa hilo watu hawalioni. Na mbaya zaidi hata JF iliyokuwa ikidhaniwa kuwa ni HOME OF GREAT THINKERS nayo ina watu wanashindwa kuelewa na kubaki kushangilia upumbavu huu wa karne uliofanyika.

Sasa wajinga wasilojua ni kuwa Mbowe, Lissu, Mdee, Sugu, Chakaza , Heche, Mnyika, Zitto nk nk hawawezi kulala njaa au kufa njaa bali watakao kabiliana na muziki huu wa matatizo makubwa ni wengi walio mitaani na hata members wa JF.

Watoto wao na watoto wa watoto wao ndio wataucheza muziki vizuri, wacha waendelee kuimba CCM ni ileile!
 
Hiyo nayo ni sehemu ya Siasa!
 
Mgombea Urais wa CDM alikuwa anajikita kwenye matusi zaidi kuliko kuwanadi Wagombea Ubunge na udiwani wakati alipokuwa jukwaani.

Matokeo yake ndo yanaanza kuonekana Sasa.
Hebu nukuu matusi ya Lissu tuyaone ndugu. Usiwe pimbi kiasi hicho.

Mara nyingi LISSU ametumia neno mjinga, upuuzi, ufisadi. Hayo ndiyo matusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…