Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Shinyanga Mjini (CHADEMA) ashikiliwa na Polisi kwa kufanya fujo

Sijui tunaelekea wapi. Yaaani tumepora uchaguzi na tutakuwa na 100% wabunge wa CCM. Then kuna watu humu wanashangilia..

We are going to face serious ecomonic sanctions. Hii miaka 5 inaenda kuwa migumu migumu kimaisha like ever before... Tunaenda kupigika balaa. Yaani CCM tungeiba hata kidogo na kuacha fairness kwa baadhi ya majimbo

Peleka utopolo wako huko.
Kama unadhani ubora wa maisha yako utaletwa na wanasiasa basi umefeli sana katika hilo.
 
Sijui tunaelekea wapi. Yaaani tumepora uchaguzi na tutakuwa na 100% wabunge wa CCM. Then kuna watu humu wanashangilia..

We are going to face serious ecomonic sanctions. Hii miaka 5 inaenda kuwa migumu migumu kimaisha like ever before... Tunaenda kupigika balaa. Yaani CCM tungeiba hata kidogo na kuacha fairness kwa baadhi ya majimbo
Toka zako huko usitutishe. Mmeshindwa Uchaguzi kihalali kabisa, msitafute visingizio. Watanzania wamechoka siasa za ulaghai za wapinzani. Kwa mfano unaweza kusema Mbowe kaibiwa kura hai? Wakati dalili za kukataliwa zilionekana wazi kabisa toka mwanzo.
 
For what? dhana nzima ya uongozi haipo kwenye uteuzi, ipo kwenye ku better life for Tanzanians
Vyovyote vile mtu anavyoweza kuhudumia wananchi iwe kwa teuzi au uchaguzi. Kwani kuna ubaya?
 
by Gerald .M Magembe
Mbowe.jpg
 
Vyovyote vile mtu anavyoweza kuhudumia wananchi iwe kwa teuzi au uchaguzi. Kwani kuna ubaya?

Nafikiri hatutaelewana Mama D, tunaishi kwenye dunia tofauti, nashukuru lakini for your comment!
 
Acha ujinga wewe, hatupo hapa kwa ajili ya hao akina mdee na lema.
Mlikuwa mna maneno ya shombo sana humu, mara tunakinukisha, mara ooh sasa basi
Mkuu inasikitisha sana kuwa hilo watu hawalioni. Na mbaya zaidi hata JF iliyokuwa ikidhaniwa kuwa ni HOME OF GREAT THINKERS nayo ina watu wanashindwa kuelewa na kubaki kushangilia upumbavu huu wa karne uliofanyika.

Sasa wajinga wasilojua ni kuwa Mbowe, Lissu, Mdee, Sugu, Chakaza , Heche, Mnyika, Zitto nk nk hawawezi kulala njaa au kufa njaa bali watakao kabiliana na muziki huu wa matatizo makubwa ni wengi walio mitaani na hata members wa JF.

Watoto wao na watoto wa watoto wao ndio wataucheza muziki vizuri, wacha waendelee kuimba CCM ni ileile!
 
Mziki mziki kweli Chakaza imagine sisi wengine tumekua tunaucheza huo mziki na familia zetu miaka nenda rudi na hatukua na wa kutusemea wala matumaini kwamba kuna siku hali itabadilika.

Ila sasa tumeucheza miaka5 kwa maumivu yenye furaha kwamba tunapata maendeleo ya vitu ambavyo ilikua ndoto kwa maskini wa hali ya chini kabisa kuvipata.

Inaonekana wewe na hao kina Mbowe, Lissu, Mdee, Sugu, Heche, Mnyika, Zitto n.k hamjawahi ucheza huu mziki ila sasa tutaucheza wote kwa pamoja kwa maendeleo ya nchi yetu
 
Vitu? Kwani ni vitu gani ambavyo ni ajabu kwa sasa kuwepo hadi ufurahie kuvipata kwa being ya Uhuru wako mama D ?
Mama D naomba nisamehe nikuulize swali moja baya kidogo. Hivi mumeo akiamua kukutumia kinyume na maumbile bila ridhaa yako lakini kwa ahadi ya kukununulia vitenge kama vya jirani yenu utamsifia kwa dhati kuwa kafanya jambo jema?
 
Hapa
Kichekesho ni pale ambapo hata wana kijani walipokuwa hawamtaki mgombea pandikizi na ameshinda wote wanalia kama wanavyolia wapinzani!.

👉 Kwingine habari zinasema kura zimezidi idadi ya wapigaji na wasimamizi wa eneo hilo wanatizama na kusaini!.

👉 Kwingine mtu anakimbia na sanduku la kupigia kura na askari hawamfanyi kitu wanamtazama!.
Hapa tumepiga Amsterdam, J Tripi, Jef Smith na kibaraka wao Tundu lisu.
Ni bora angegombea hata Msigwa tusinge hanagaika nae, ila beberu na kibaraka wao T Lisu lazime agongwe kichwa mpaka kibomoke.
 
Vitu? Kwani ni vitu gani ambavyo ni ajabu kwa sasa kuwepo hadi ufurahie kuvipata kwa being ya Uhuru wako mama D ?
Mama D naomba nisamehe nikuulize swali moja baya kidogo. Hivi mumeo akiamua kukutumia kinyume na maumbile bila ridhaa yako lakini kwa ahadi ya kukununulia vitenge kama vya jirani yenu utamsifia kwa dhati kuwa kafanya jambo jema?

Ndio vitu Chakaza inawezekana wewe ukaona maisha yalikua sawa sababu hakuna ambacho ulikua unakosa, ila wananchi waliowengi kwa sasa wanapata vitu ambavyo walikua hawapati na hawakuwahi tegemea kama inawezekana kuvipata Tanzania hii. Wao hawaoni kama wameuza uhuru ila wanaona wamepata uhuru, haki na maendeleo makubwa sana.

Mfano ulioutoa hapo wa mume kumtumia mke kinyume cha maumbile bila ridhaa hauiwakilishi hali ya sasa kwa serikali ya Tanzania na wananchi wake. Ila inawakilisha hali sasa ya viongozi wa vyama vya upinzani wanaotaka kuwalazimisha wananchi kufanya maandamano bila ridhaa yao bali kwa maslahi ya hao viongozi
 
Back
Top Bottom