Kwao ni bora Mbowe asiingie bungeni kwa gharama yeyote lakini Livingstone Lusinde awepo.Kweli mimi sijui kwa nini wenzako wa CCM hawaoni shida kwa haya, mngeacha hata key member of parliaments warudi, hebu fikiri, Mbowe jamani? of all people, Mheshimiwa Mbowe?
Pia alithibitisha pasipo shaka kuwa yeye na chama chake ni viwanda vya malalamiko, hakuna mikakati wala mbinu mbadala! Alikataa maendeleo ya vitu kwa ajili ya watu wakati vimemsaidia sana hata juzi kutoka Kilimanjaro kuwahi kawe, jana Dar kwenda ikungi, kutembea mikoa yote katembea kwa kuteleza tu kwa ajili ya kazi nzuri ya CCM!Mgombea Urais wa CDM alikuwa anajikita kwenye matusi zaidi kuliko kuwanadi Wagombea Ubunge na udiwani wakati alipokuwa jukwaani.
Matokeo yake ndo yanaanza kuonekana Sasa.
Sheria hairuhusu! labda Mhe. JPM awateue , shida hao ni viwanda vya matusi na jamaa anataka hoja na maendeleo!Kabla ya kampeni kuisha nilishauri tume na Magu wafikirie kuwatangaza hawa wabunge wakubwa wa upinzani hata kama hawatashinda, ila mibavicha ikanitukana
Wewe Ni kipofu na huwezi kumuongoza kipofu mwenzio.Hebu nukuu matusi ya Lissu tuyaone ndugu. Usiwe pimbi kiasi hicho.
Mara nyingi LISSU ametumia neno mjinga, upuuzi, ufisadi. Hayo ndiyo matusi?
Pamoja na yote, upinzani wetu ulizidi uongo na siasa za mihemko. Watu hatutaki bunge la chama kimoja ila uzushi ulitamalakiTatizo walidanganywa wapo mioyoni mwa watu kumbe hamna.
Wananchi wamemkataa Mbowe comrade ndio demokrasia iyoKweli mimi sijui kwa nini wenzako wa CCM hawaoni shida kwa haya, mngeacha hata key member of parliaments warudi, hebu fikiri, Mbowe jamani? of all people, Mheshimiwa Mbowe?
Mpuuzi mwingine huyu hapa bila kumsahau BAKKwao ni bora Mbowe asiingie bungeni kwa gharama yeyote lakini Livingstone Lusinde awepo.
Watu wa aina hiyo unadhani kichwani wana nini?
Wakati nyie mlijikita kwenyeMgombea Urais wa CDM alikuwa anajikita kwenye matusi zaidi kuliko kuwanadi Wagombea Ubunge na udiwani wakati alipokuwa jukwaani.
Matokeo yake ndo yanaanza kuonekana Sasa.
Wananchi wamemkataa Mbowe comrade ndio demokrasia iyo
Kuna maisha baada ya uchaguzi comrade punguza hasira.Usiniite mimi Comrade .... itaneni nyie wahuni
Kuna maisha baada ya uchaguzi comrade punguza hasira.
Comrade tokea kipindi cha kampeni tulikua tunawaambia matusi na kejeli hazitowasaidia kitu hamkusikia. Sasa leo hii uchaguzi umeisha tumeshinda kwa kishindo inashangaza kuona mfuasi wa Lissu bado anaamini katika matusi.Uwe na Idd njema, sije kukutukana ndugu!
Ndiyo maombi yenu tangu awali. Economic sanctions, the Hegue, kuingia barabarani n.k na ndo zimewaondoa wapinzani. Sanctions zinawaendea nani sasa hata mziombe. Muda wote wanaombea mabaya tu nchi kwa manufaa ya viongozi au watu wa hali ya chini?Sijui tunaelekea wapi. Yaaani tumepora uchaguzi na tutakuwa na 100% wabunge wa CCM. Then kuna watu humu wanashangilia..
We are going to face serious ecomonic sanctions. Hii miaka 5 inaenda kuwa migumu migumu kimaisha like ever before... Tunaenda kupigika balaa. Yaani CCM tungeiba hata kidogo na kuacha fairness kwa baadhi ya majimbo
Yaani shida ya kuwa mpinzani ni nini hata sijui. Sasa wewe mwenyewe ushatukana, Kwani mtu anaweza kuwa Pimbi? yaani shida sanaHebu nukuu matusi ya Lissu tuyaone ndugu. Usiwe pimbi kiasi hicho.
Mara nyingi LISSU ametumia neno mjinga, upuuzi, ufisadi. Hayo ndiyo matusi?
Bado kuna nafasi za uteuzi. Anaweza pataKweli mimi sijui kwa nini wenzako wa CCM hawaoni shida kwa haya, mngeacha hata key member of parliaments warudi, hebu fikiri, Mbowe jamani? of all people, Mheshimiwa Mbowe?
Ni ukweli mtupu, so far upigaji kura wa jana ilionekana tu hawa jamaa wangefika kupiga kura ingekuwa vurugu vurugu hivi. Lakini kulikuwa shwaaari. maeneo mengi. Kwa urais wengi walikuwa wa mjini tu vijijini hata hawamjui huyo mgombea maarufu. Hakuna namna wameshindwa na imeshakuwa. wajipange tenaTatizo walidanganywa wapo mioyoni mwa watu kumbe hamna.
Kavuka mipaka naye huyo. Kwanini afikie hatua ya kuchanq karatasi na kupiga watu.Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia Mgombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA) Salome Makamba kwa tuhuma za kufanya fujo, kuchana karatasi za matokeo ya kura na kumjeruhi Msimamizi wa Uchaguzi katika kituo cha kuhesabia kura cha shule ya msingi Bugweto "B".
Tatizo walidanganywa wapo mioyoni mwa watu kumbe hamna.