Mgombea Udiwani Kata ya Mtae atekwa na watu wasiojulikana

Mgombea Udiwani Kata ya Mtae atekwa na watu wasiojulikana

CDMhub

Senior Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
184
Reaction score
93
Kama ni siku ya mwisho kurudisha fomu ya ugombea basi upande wa pili atapita "bila kupingwa" kwa kukosa mshindani "aliyeshindwa kutimiza masharti ya uchaguzi"???!!
 
Asije akawa amekula dili kwa macc na kupokea chake,mfatilieni makamanda
 
Mgombea udiwani kwa tiketi ya Chadema kata ya mtae jimbo la Mlalo ametekwa leo mchana na ajulikani alipo.Mpaka sasa ajarudisha fomu ya kugombea udiwani,familia yake inamtafuta wakishirikiana na makamanda wa Chadema.vijana wameapa watakesha nyumbani na ikibidi watakufa na mtu.TAZAMA UHUNI WA MACCM.


source Katibu wa kanda ya kaskazini Chadema.
A.Golugwa
 
Mbona Bunda wamekomaa na fomu hadi mambo yapo shwari sasa?Lazma mtueleze Wa Tanzania ni nini Kimetokea
 
Kwahiyo kwa akili yako ilivyo fupi kama pipi tofi, unaamini walio mteka ni CCM? Jitahidi kutoa habari kama ilivyo acha ushabiki.
 
Natamani ningekuwepo ili nichukue hiyo nafasi fasta fasta?
 
Ametekwa au amejiteka? Isije ikawa kama story zile za Ibrahimu Musabaha Mbunge wa CUF enzi hizo ambaye baadaye alirudi CCM.

CDM hii iwe AN EYE OPENER kwa chaguzi zijazo. CCM watapandikiza wagombea mamluki kwenye chaguzi ambao siku ya mwisho WATAJITEKA na kupotea. Pia hili liwe fundisho CDM kwa wagombea wenu kurudisha fomu za uchaguzi ZERO HOURS i.e siku ya mwisho ya kupokea fomu. CCM hawalali watatumia kila njia HARAMU NA HALALI kupata USHINDI. Kwao CCM USHINDI NI LAZIMA sio matakwa ya wapiga kura!
 
Wasiwasi wangu isijekua jamaa keshakula chake toka CCM,ajifiche hadi muda wa kurudisha fomu upite.kwa sasa CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote bila RUSHWA na WIZI WA KURA...
 
Back
Top Bottom