Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ccm wanafanya siasa za kishamba sana .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amejificha huyo anaogopa kushindwa. amepima upepo
kweli we chizzzzzzzzzzzzzzzzz leo ndo nimeaminiHii staili ya chadema ya kutekana itatufikisha kubaya sasa
Nadhani style ya kula rambirambi za wajane ndiyo mbaya zaidi!Hii staili ya chadema ya kutekana itatufikisha kubaya sasa
wakati Deo kisandu alipokuwa kiongozi hapo Lushoto ujinga huo ulikuwa haufanyiki, unajua wale viongozi waliopo Lushoto huwa wana nunulika kiulaini sana na wakiona kiongozi mmoja anawakosesha riziki kama hizo wanamtengenezea zengwe, mnakumbuka kata ya Funta, Kisandu alipambana mpaka mgombea akarudisha fomu jamaa haohao walipoona issue imefeli wakamchongea kwa John Mrema aonekane mbaya, haya sasa mgombea kauzwa na wala wasimlaumu mgombea wawabane viongozi wa wilaya ya lushoto wako vizuri kwa kuomba pesa.Mgombea udiwani wa CHADEMA kata ya mtae jimbo la Mlalo ametekwa leo mchana na hajulikani alipo. Hajarudisha fomu za kugombea udiwani, familia inamtafuta na makamanda wa CHADEMA wanamsaka. Vijana wameapa watakesha nyumbani kwake na ikibidi wanatoka na mtu.
Mgombea udiwani wa CHADEMA kata ya mtae jimbo la Mlalo ametekwa leo mchana na hajulikani alipo. Hajarudisha fomu za kugombea udiwani, familia inamtafuta na makamanda wa CHADEMA wanamsaka. Vijana wameapa watakesha nyumbani kwake na ikibidi wanatoka na mtu.
kwahiyo kwa akili yako ndefu waliomteka ni cdm?Kwahiyo kwa akili yako ilivyo fupi kama pipi tofi, unaamini walio mteka ni CCM? Jitahidi kutoa habari kama ilivyo acha ushabiki.
huwa unaona raha gani kutumia mdomo wako na vidole vyako kuandika vitu ambavyo nafsi yako inajua na kuamini kuwa so vya kweli?Hii staili ya chadema ya kutekana itatufikisha kubaya sasa
Hapana hii habari si ya kweli.
michezo ya aina hii itaingiza nchi kwenye machafuko aifai hata kidogo cha msingi tafuteni form nyingine kwa gharama yoyote mhakikishe imefika ikishindika muende mahakamani mkazuie huo uchanguzi kuwa kuna mwenendo wa jinai ndani ya utaratibu wa uchaguzi ila ujinga wa aina hiyo aipaswi kuvumilika hata kidogo na siyo swala ya kuinyamazia
Wasiwasi wangu isijekua jamaa keshakula chake toka CCM,ajifiche hadi muda wa kurudisha fomu upite.kwa sasa CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote bila RUSHWA na WIZI WA KURA...
Poleni sana Kamanda, Tatizo lenu mmejikita SOMBETINI mkasahau kata zingine.