Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
ameona mbali na kufanya maamuz sahihi. Cdm ina wenyewe naona amejiteka tu kukipa fursa chama sikivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni fundisho, uchaguzi mkuu ujao chadema lazima iweke wagombea wa akiba, ili ikitokea ya kujiteka basi wale wa akiba watie timu.Muda umekwisha...!
Wazo zuri ila nadhani taratibu zitakuwa zina taka vyama vipeleke mgombea mmojaHili ni fundisho, uchaguzi mkuu ujao chadema lazima iweke wagombea wa akiba, ili ikitokea ya kujiteka basi wale wa akiba watie timu.
Ndiyo, ni mmoja tu ndo anatakiwa. Hapa ni kuwabana 'hao wateule' hasa wapya, wapeleke fomu zao siku ya kwanza ya kurudisha fomu wakishindwa kufanya hiyo uteuzi wao unabatilishwa, na reserve wanatia timu kwa hati ya dharura.Wazo zuri ila nadhani taratibu zitakuwa zina taka vyama vipeleke mgombea mmoja
Hapa kuna mawili, either ametekwa, au ameamua kujiteka mwenyewe.................. Hata hivyo hili jambo limetufundisha kwamba tuwe tunawahi siku moja au mbili kabla ya siku ya mwisho kurudisha fomu.... Maana CCM wana mbinu kibao, serikali yao polisi wao usalama wa taifa wao, wanaweza kuwateka makamanda wetu siku ya mwisho.
Kata ya Mtae CCM hawakubaliki kabisa........
hili lazima wahusika watalifanyia kazi.Ndiyo, ni mmoja tu ndo anatakiwa. Hapa ni kuwabana 'hao wateule' hasa wapya, wapeleke fomu zao siku ya kwanza ya kurudisha fomu wakishindwa kufanya hiyo uteuzi wao unabatilishwa, na reserve wanatia timu kwa hati ya dharura.
Poleni sana Kamanda, Tatizo lenu mmejikita SOMBETINI mkasahau kata zingine.
Tatizo litabaki kwa mahakimu, nafikiri akisha mjazia mmoja akija wa pili anaweza kutia ngumu kama anajua mchezo. Anyway, it is worth trying.hili lazima wahusika watalifanyia kazi.
Hii staili ya chadema ya kutekana itatufikisha kubaya sasa
Poleni sana Kamanda, Tatizo lenu mmejikita SOMBETINI mkasahau kata zingine.