Elections 2015 Mgombea Urais CCM 2015: Ni Bernard Membe au January Makamba

Elections 2015 Mgombea Urais CCM 2015: Ni Bernard Membe au January Makamba

Miaka mitatu iliyopita (2012), tulitabiri (kwa uchambuzi) kwamba mgombea Urais (CCM) 2015 ni aidha Bernard Membe au January Makamba. Je utabiri huo utatimia?

Mkuu hongera sana kwa uchambuzi wako...

Wewe ni mwana CCM wa kupigiwa mfano kwani uko very objective...
 
may be wataweza kushika hata nafasi ya tatu kati ya atakayepitishwa maana ikulu mtaanza kuisikia tu
 
Miaka mitatu iliyopita (2012), tulitabiri (kwa uchambuzi) kwamba mgombea Urais (CCM) 2015 ni aidha Bernard Membe au January Makamba. Je utabiri huo utatimia?

Umetimia 99% bado rais ni nani itimie 100%
 
Mkuu Mchambuzi, saa hizi nimesha pata kidogo, nikitulia nitakusoma kwa kituo na kukukumbusa ni lini na wapi mimi nilisema 2015 ni Magufuli, tatizo Magufuli hatabiriki, anaweza kuja kugeuka dikiteta wa ajabu hadi kuja kuwachenjia hata CCM wenyewe.
Hii ilikuwa ni post ya Nov 12, 2012!.
P
 
Mkuu Mchambuzi, saa hizi nimesha pata kidogo, nikitulia nitakusoma kwa kituo na kukukumbusa ni lini na wapi mimi nilisema 2015 ni Magufuli, tatizo Magufuli hatabiriki, anaweza kuja kugeuka dikiteta wa ajabu hadi kuja kuwachenjia hata CCM wenyewe.
You are extremely insightful, I give you that.
 
Mkuu Mchambuzi, saa hizi nimesha pata kidogo, nikitulia nitakusoma kwa kituo na kukukumbusa ni lini na wapi mimi nilisema 2015 ni Magufuli, tatizo Magufuli hatabiriki, anaweza kuja kugeuka dikiteta wa ajabu hadi kuja kuwachenjia hata hao CCM wenyewe.
Hahahahah
 
Mwisho kabisa niseme tu kwamba nia yangu hapa sio kupigia debe viongozi hawa wawili kwani mbali ya siasa za NEC nilizojadili na pia conditions nilizojadili hapo juu, bado wana kazi kubwa ya kuaminisha watanzania kwamba atakayepita atakuwa Rais Bora na sio Bora Rais; Na mpaka tufikie hatua hiyo, Chadema wakifanyia kazi mapungufu yao, Rais Bora kwa Tanzania 2015 ni Tundu Lissu, na hii ni changamoto kwa Wagombea wa CCM kwamba muda ukifika, waanze kujieleza kwa wananchi kwamba wanasimamia ISSUES gani, kwani suala la PERSONALITY halitakuwa kigezo tosha cha kumpelekea mgombea Urais ikulu 2015; Inawezekana huko mbeleni wagombea wa CCM wataanza kunadi issues wanazosimamia, lakini mpaka tufike huko, mimi binafsi nadhani iwapo
Hii aya ndiyo iliwapukutisha watajwa sifa za kuwa halali kupewa kijiti cha kuwakilisha vyama vyao.
Mfano: 1. Kitendo cha mleta mada kudai kuwa "....bado wana kazi kubwa ya kuaminisha watanzania kwamba atakayepita atakuwa Rais Bora na sio Bora Rais;....", ilikuwa wazi kabisa Mchambuzi alikuwa anajua fika hawa kwawakati huo walikuwa na sifa ya " bora rais". Hivyo wafuatilia mambo waling'amua mapema.

Mfano: 2. Pia Mchambuzi aling'amua mapema kuwa hata vyama vya ukawa vilijikita kwenye personalities badala ya issues. Hata mtanjwa alijikita zaidi kwenye personalities kumbuka "... orodha ya aibu ya Mwembeyanga...", wàandaji wa orodha wote hawakuwa na issues bali personalities matters kama ngao zao za kuaminiwa nawatanzania.

CCM ilitumia ushauri wa Mchambuzi kufanya maamuzi sahihi. Na baada ya CCM kushughulikia issues na kuua kabisa mambo ya personalities kwenye uendeshaji waserikali wale watumia hoja za personalities hawana lao kisiasa.
 
Mkuu Mchambuzi, saa hizi nimesha pata kidogo, nikitulia nitakusoma kwa kituo na kukukumbusa ni lini na wapi mimi nilisema 2015 ni Magufuli, tatizo Magufuli hatabiriki, anaweza kuja kugeuka dikiteta wa ajabu hadi kuja kuwachenjia hata hao CCM wenyewe.
Nabii hakubaliki kwao...
 
Back
Top Bottom