Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

Sheria inasemaje
 
Ameongea kisukuma kampeni nzima au amechomekea kama Lissu anavyochomekea maneno ya kimalkia?
 
Nyingine ni salam tu
 
kama ujui vitu weluvu wanapo lalamika jua wanampenda uyo wanaemlalamikia tofauti na wale wanao jipendekeza
Weka hiyo sheria kwani kuna sheria ambayo ni siri? Maneno mengi wakati hujui usemalo.
 
Sheria zimetungwa ili zibane wapinzani na zivunjwe na CCM.
Kisukuma kimewauma ehe! Mtakonda mwaka huu. Akisema Kiingereza mpo kimya, sisi Wafrika inabidi kujitambua.
 
NEC kwa CCM hawafuati sheria kama kule njombe mgombea ubunge kakutwa na hatia ya ukwepaji kodi na ameruhusiwa kugombea
 
Tume wajiendee likizo tu. Hakuna lolote la maana wanalofanya. CCM anajifanyia lolote tume wakiwa mabubu.
 

Utetezi wa kipuuzi kabisa, ingekuwa ni mpinzani ungeona tume isiyo huru ya uchaguzi, na msajili wa vyama vya siasa wakitoa vitisho hata usiku wa manane.
 
Sawa........

Ingekuwa ANACHOKIONGEA hakieleweki na HADHIRA hapo Ni tatizo....kumbe ANACHOCHOMBEZA anaeleweka na hata kina Bwashee(Maana ukiishi Usukumani Ni rahisi Sana kuvutiwa KUKIJUA).

Acheni GUBU eeee
Wapi wewe, nani avutiwe na lafudhi ya kisukuma [emoji3]
 
Ameongea kisukuma kampeni nzima au amechomekea kama Lissu anavyochomekea maneno ya kimalkia?

Kisha ndio umeweka post ya kipuuzi kule kujifanya una barua ya wazi, huku unatetea uhuni wa wazi. Shubamiit.
 

Watetezi wa CCM mitandaoni ni zero kichwani!Mmekalia mipasho tu badala ya kanuni za uchaguzi!

Sasa kulikuwa kuna haja gani kuelezwa kwenye kanuni za uchaguzi kuwa lugha itakayotumika ni kiswahili?Mikutano hiyo inakuwa live,huoni kuwa wafuatiliaji wengine wanakosa haki yao ya kusikiliza sera?

Msiwe mapopoma kiasi hiki,mnaishusha hadhi JF!
 
Hujui kiingereza ni moja ya official languages Tanzania???? Hivi nyie vilaza lumumba wanawatoaga wapi????
 
Na wee malafyale si ukaongee tu kinyakyusa na wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu bwana mkabili kishenzi na amejaza watu wake kila mahali tumkatae asije akatuharibia umoja wetu.
Jamaa ana siasa za kishamba sana, siasa za ukabila na ukanda, its not worth for our nation!
Sawa........

Ingekuwa ANACHOKIONGEA hakieleweki na HADHIRA hapo Ni tatizo....kumbe ANACHOCHOMBEZA anaeleweka na hata kina Bwashee(Maana ukiishi Usukumani Ni rahisi Sana kuvutiwa KUKIJUA).

Acheni GUBU eeee
Tulia Dawa ikuingie Halima Mdee Alitumia Lugha ya Wahuni Kale Kawe Anasema Mchumba Sijui watoto Wa kitaaa watamwonyesha Gwaji Boy Mimi hatasikuelewa ile lugha ya kihuni
Sheria ya Uchaguzi imesema waongee Kisukuma?
Who cares? Kama umechukia kajinyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…